Kwani hawakuzaliwa? Hata sisi tulikua hatufanyi hayo mambo lakini siku hizi tunajaribu kuandika chooni ili tusisahau BD za watoto na wenzetu maana ni vigeni. Pilau la Muislam likoje?Hahaa hakuna wa kunipikia..labda nijisogeze kwa mtoa mada..nipo ugenini huku hawaelewi ht maana ya besdei😅...wine huki hakuna kuna ngumu tu...msos napendelea pilau..tena anipikie muislam😊