Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

[emoji23] nilikuambia. Huko inabidi ufunge mkanda haswa... Karibu ziwani.. Ngoja nikuandalie kabajeti kako kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahhaa bagosha wananishangaa..wananiukiza huku umefikaje😂😂nawqambia tulieni huko huko..ila maisha ni ya ajabu sana jaman...tmr nitakupigia pic napolala😀😀😀utacheka ufe...asbh kila mtu anan8angalia..hv nakazana nijue lugha ..twende sawa..bt am ok
 
Hahhaa bagosha wananishangaa..wananiukiza huku umefikaje[emoji23][emoji23]nawqambia tulieni huko huko..ila maisha ni ya ajabu sana jaman...tmr nitakupigia pic napolala[emoji3][emoji3][emoji3]utacheka ufe...asbh kila mtu anan8angalia..hv nakazana nijue lugha ..twende sawa..bt am ok
[emoji28]. Hatari ndio pesa.. Umenikumbusha wayback, Rusolute mining... Tuyaache haya.. Si mahala pake.. V

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepikiwa nini? Kuna ka wine kidogo au ni juice kwenda mbele? Vyakula siwezi bashiri inategemea na vionjo vyako. Mimi ningependa bone Marrow, ndizi, kisamvu na senene. Hahahaha.


Hahaa hakuna wa kunipikia..labda nijisogeze kwa mtoa mada..nipo ugenini huku hawaelewi ht maana ya besdei😅...wine huki hakuna kuna ngumu tu...msos napendelea pilau..tena anipikie muislam😊
 
Back
Top Bottom