Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Just kidding dear
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ushimen seen[emoji7][emoji7]..Be blessed..raha ya kuwa na wadogo kama hawa jaman[emoji4]
Mbona sijaiona PM yako mkuu...!!??[emoji53][emoji53]
Maana naona kama naweza nikapishana na gari la mshahara...tehteehh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4][emoji4] nahis umelewa oga kwanza
๐๐๐hongera dada akee kwa kudumisha tamaduni acha sisi tujiite ya kizungu๐Hahaaba...asante sana mamy...jaman napenda sana majina machachu...ya kilugha...unakuwa una idendity yako..mie kujiita curvy girl au curvemom,au cute au beautiful hapana siwez na sibarikiwi...hizi mambo huja auto...familia yang hawajanipaga jina la kilugha bas mie hom najiitaga ya kubumba km hv...i like it..!wenye majina mazuri endeleen nyie ni maua๐
๐๐๐๐๐๐Hapana mkuuu, huyu huyu wa kwetu Manengelo, sio hao wengine kamongouna uhakika Salam zako ni za huyu member wetu? Isijekuwa mwenzetu upo Liverpool?
[emoji23][emoji23].. Hili silijui mkuu. Na sijawahi lichunguza..Ana chura?[emoji16][emoji16][emoji16]
Ulifanyaje ukawa maarufu hivi aise...? Nimegundua pitia uzi huu.Hahabhahahah
AmenAsante sana mamy...Mungu mwema..na ananipenda hakuna mfano
Kweli naona hata mwandiko unaoneshamzee baba nipo sudan kwenue shamra dhamra airtwl kimeo...ndo tupo mpaka nw kama unavyoona najibu nw..sorry
..aha wap umaarufu wa nn..haha watu wanasaka pesa ww unasaka umaarufu
[emoji23][emoji23] si wanasema umaarufu pia ni fursa.si
..aha wap umaarufu wa nn..haha watu wanasaka pesa ww unasaka umaarufu
BTW nimependa emojis..(Mambo ya carats) [emoji28]hahaa sio kwangu mjomba jambazi[emoji28][emoji184]
a....unaumwa boss wangu...ngoja ukisia naitwa don usishangae nitafanya vurugu sana kwako...ukipiga tu mluzi nakufungikia na airtel money๐
Nimechanganya habari..! Sorry!hahahha
a....unaumwa boss wangu...ngoja ukisia naitwa don usishangae nitafanya vurugu sana kwako...ukipiga tu mluzi nakufungikia na airtel money[emoji6]