Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

Hahaaba...asante sana mamy...jaman napenda sana majina machachu...ya kilugha...unakuwa una idendity yako..mie kujiita curvy girl au curvemom,au cute au beautiful hapana siwez na sibarikiwi...hizi mambo huja auto...familia yang hawajanipaga jina la kilugha bas mie hom najiitaga ya kubumba km hv...i like it..!wenye majina mazuri endeleen nyie ni maua😍
😂😂😂hongera dada akee kwa kudumisha tamaduni acha sisi tujiite ya kizungu😛
 
Back
Top Bottom