Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
[emoji23] nilikuambia. Huko inabidi ufunge mkanda haswa... Karibu ziwani.. Ngoja nikuandalie kabajeti kako kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepikiwa nini? Kuna ka wine kidogo au ni juice kwenda mbele? Vyakula siwezi bashiri inategemea na vionjo vyako. Mimi ningependa bone Marrow, ndizi, kisamvu na senene. Hahahaha.Haaha
mbona art zangu jaman zinajionesha mamy..me ke!asante sana aunt ake
una uhakika Salam zako ni za huyu member wetu? Isijekuwa mwenzetu upo Liverpool?Hbd Mane.
We humu kasichana kabichi uzee kwenu hukohuko.😂😂😂😂😂 usinidogoleshe mkuu.
..khaa
[emoji28]. Hatari ndio pesa.. Umenikumbusha wayback, Rusolute mining... Tuyaache haya.. Si mahala pake.. VHahhaa bagosha wananishangaa..wananiukiza huku umefikaje[emoji23][emoji23]nawqambia tulieni huko huko..ila maisha ni ya ajabu sana jaman...tmr nitakupigia pic napolala[emoji3][emoji3][emoji3]utacheka ufe...asbh kila mtu anan8angalia..hv nakazana nijue lugha ..twende sawa..bt am ok
Niko naangalia tbc zilipendwa.[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]...
😍😍😍 lap u sweetdarling...Happy birthday mdada...keep smiling ...life is too short..
✔[emoji28]. Hatari ndio pesa.. Umenikumbusha wayback, Rusolute mining... Tuyaache haya.. Si mahala pake.. V
Sent using Jamii Forums mobile app
We humu kasichana kabichi uzee kwenu hukohuko.
Umepikiwa nini? Kuna ka wine kidogo au ni juice kwenda mbele? Vyakula siwezi bashiri inategemea na vionjo vyako. Mimi ningependa bone Marrow, ndizi, kisamvu na senene. Hahahaha.
[emoji28]Nasikiliza nyimbo zote, kasoro modern taarab.... Sema leo nina mood ya kusikiliza Hip Hip zile ngum za kina DMX, Wu tang clan, Mobb Deep, Fugees.. Kushangilia ushindi wa simba huko Congo.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mie bora nilale tu
[emoji23] hiyo statement ya mwisho huwa huiachi.Hahaa hakuna wa kunipikia..labda nijisogeze kwa mtoa mada..nipo ugenini huku hawaelewi ht maana ya besdei[emoji28]...wine huki hakuna kuna ngumu tu...msos napendelea pilau..tena anipikie muislam[emoji4]