Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

Toa aya au hadith inayoelekeza kusherehekea mazazi ya mtume sheikh
Siyo kila kitu lazima kielekezwe na aya,bali hutotakiwa kulifanya jambo ikiwa limekatazwa na aya,mfano aya imekataza kufunga ndoa na watu fulani,hivyo ambao hawakutajwa na aya ni ruksa kufunga nao ndoa,aya imeharamisha vyakula fulani, ambavyo havikutajwa ni halali bila aya kusema
 
Nawatakia Siku kuu njema na Ibada njema Ndugu Zangu wote na marafiki Zangu wote WA imani ya kiislamu. Uislam unapinga dhulma, hivyo niwasihi waislam kusimamia Haki yetu ya kuishi! Akipotezwa mmoja iwe ni Sawa na kutupoteza wote. Allah Akbar

Huo upuuzi kaongee kwenye nchi za uarabu. Nje ya nchi za kiarabu, huo ni ujuha.

Katika nchi yetu, akidhulumiwa au kuuawa mtu au mwananchi mmoja (bila kujali imani yake) isivyo haki taifa zima tutasimama.
 
Huo upuuzi kaongee kwenye nchi za uarabu. Nje ya nchi za kiarabu, huo ni ujuha.

Katika nchi yetu, akidhulumiwa au kuuawa mtu au mwananchi mmoja (bila kujali imani yake) isivyo haki taifa zima tutasimama.
kwani nilichoandika mimi na ulichoandika wewe tofauti ni nini? tusiwe tunasoma na kujibu mambo kwa jazba
 
Mama yake yesu ni nani?
Yesu ni Mungu,

Hana baba wala mama,Wala Hana mwanzo au mwisho wa siku zake. (Waebrania 7:3).

Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako fuatisha Sala hii:

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Amen
 
Yesu anaweza akawa mungu kwenu ila SIO MWENYEZI MUNGU. maana hata wahindi wanasema tembo na NG'OMBE NI MIUNGU YAO .yesu hawezi kuwa mungu MWENYEZI aliyeumba dunia
 
Yesu anaweza akawa mungu kwenu ila SIO MWENYEZI MUNGU. maana hata wahindi wanasema tembo na NG'OMBE NI MIUNGU YAO .yesu hawezi kuwa mungu MWENYEZI aliyeumba dunia
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.

Msisitizo uko hapo " Mungu ni MMOJA tu" wengine ni miungu, ndio maana nimemtaja Jina "YESU" Ili kumtofautisha na miungu mwingine.

Jina "YESU" , YESHUA ni Jina la Mungu Si la kibinadamu, kama huamini kamuulize mganga wako atakwambia.
 
kwani nilichoandika mimi na ulichoandika wewe tofauti ni nini? tusiwe tunasoma na kujibu mambo kwa jazba

Wewe umeandika sheria ya nchi za kiarabu, mimi naandika sheria ya nchi yetu isiyoendekeza desturi za kigeni.
Halafu jitathimini sana kama uislam unaeneza imani ya dini au desturi za kiarabu. Chambua kwa vigezo vichache kwa kuanzia kama vile:
1. Lugha ya ibada yao
2. Majina ya waumini wao
3. Mavazi yao.
4. Usanifu wa majengo yao ya ibada.
5. Mapishi na vyakula vyao.
6. Mazishi na maziko yao.
7. Ndoa na sherehe za harusi

With your open mind, fanyia kazi haya.
 


Hebu weka kuanzia aya 2:190 hadi 2:193 tuone
 

Uko sahihi, Muumba wa Mbingu na Nchi ni Mmoja. Hayo mengine ni uchakachuzi wa maRoma.
 
Hivi yeye binafsi akiwa hai alishawahi kusherekea siku yake ya kuzaliwa? Na Maswahaba walishawahi kufanya Maulidi, na kwa Muisilamu unaruhusiwa kusherekea siku yako ya kuzaliwa?
 
sawa
 
Mungu anakufa?
 
Mungu anakufa?
Mwili aliouvaa ndio ulikufa, Kisha akaitoa Roho yake, na kuirudisha tena ndani ya MWILI na kufufuka mwili wake.

Akapaa Mbinguni, na Yu hai hata sasa.

Mtume, Kuna watu walijaribu kuacha mwili wake nje ya kaburi kuona ikiwa atafufuka, kilichotokea ni sikitiko!
 
Wewe kwa akili yako inawezekana Mungu kujifufua mwenyewe?
 
Takbiir...
 
Wewe kwa akili yako inawezekana Mungu kujifufua mwenyewe?
Sifa mojawapo ya Mungu, ni muweza wa yote,

Ikiwa aliwafufua watu, Yohana akiwemo, ashindwe na nini?

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…