Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

Kabla ya kujibu kuhusu nani apikaye vyakula Mbinguni,

Umeelewa kuwa vinywaji vipo Mbinguni?

Nijue kama mwanafunzi wangu anaelewa!!
Siwezi kukuelewa.maana hata vinywaji vinatengenezwa.niambie anayetengeneza vinywaji hivyo na mpishi wa vyakula vya mbinguni.
 
Basi tukubaliane kwenye hilo hakuna aya ya Quran wala hadith haya tupe japo uthibitisho wa Sunnah mtume Muhammad aliwahi kusherehekea mazazi yake
Naona hujaelewa,kwa sharia ya uislam kila kitu ni halali mpaka kiharamishwe,sasa kwa kuwa hakuna aya inayokataza kusherehekea mazazi/birthday ya yeyote yule, kusherehekea mazazi hakuwi haram,ukikumbuka kwamba Allah sw kaagiza kumswalia mtume, waislam kukutana kumswalia mtume na kukumbushana kuhusu dini yao hakuwi haram
 
Issa anazaliwa lini?
Kujua na kutokujua siku aliyozaliwa Nabii Isa عليه السلام hakupunguzi heshima na na cheo Cha utume aliopewa na Allaah عز وجل. Ndani ya Quran wametajwa mitume n manabii wa Allaah wasiopungua 25 na ikiwa pamoja na Nabii Nuhu , Ibrahim, Dawuid, Sulayman, Muda, Harun na wengineo عليهم السلام ambao hatujui tarehe miezi Wala miaka ya kuzaliwa kwao lakini tunaamini kuwa ni mitume wa Allaah na walifikisha ujumbe wa mola wao kwa watu wao kama walivyoamrishwa. Ama kutojulikana siku , tarehe au miaka ya kuzaliwa kwao hakupunguzi chochote katika utume wao.
 
Amen
 
Siwezi kukuelewa.maana hata vinywaji vinatengenezwa.niambie anayetengeneza vinywaji hivyo na mpishi wa vyakula vya mbinguni.
Sasa Mungu akupe mwanadamu akili, aumbe miti na akupe chakula,

Kisha mwanadamu huyo huyo ahoji uwezo wa Mungu kuwepo vinywaji na vyakula Mbinguni!!

Malaika ndio huandaa vyakula na vinywaji Mbinguni .

Vyote uvionavyo duniani, vipo Mbinguni, duniani vimeletwa baadhi tu.

Sijui tunaeleewana?
 
 
Huo upuuzi kaongee kwenye nchi za uarabu. Nje ya nchi za kiarabu, huo ni ujuha.

Katika nchi yetu, akidhulumiwa au kuuawa mtu au mwananchi mmoja (bila kujali imani yake) isivyo haki taifa zima tutasimama.
Hata ushoga mnaoamrishana huku nchini hatuuruhusu
 
OOOOHH... HIZI NILIZOWEKA SI ZA QURAN?
Umechagua aya moja katika nyingi zinazoongelea suala moja, matokeo yake unakosa muktadha wa aya,kuna aya inasema'ole wao wenye kuswali'..ukichukua aya hiyo tu maana yake kuswali ni dhambi,aya uliyookota kwenye mitandao inayojaribu kuitweza Quran ina aya nyenzake zinazoangaza suala hilohilo,ndiyo maana nikakutaka uweke kuanzia 2:190-193 Ili tuone hila zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…