Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Heri ya siku ya kuzaliwa mstaafu J.K a.k.a Mzee Wa Msoga.
 
Mzee wetu wa msoga, Tunakuombea maisha marefu, ila mkuu ungeweka na akaunti yake ya M-peasa ili tumchangie hela apande ndege ya Emirates aende ulaya akapumzike maana anapenda sana kupanda ndege na kwenda ulaya
Duu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Happy birthday jk hakika tunakukumbuka sana..hasa ktk kipindi hiki kigumu cha kuisoma namba ya kirumi tunakukumbuka mzee wetu...
Natamani siku zirudi nyuma nisome na kuhitimu kipindi upo madarakani ili nipate kazi jamani poor me
[emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] leo nimefurahishwa na kushangazwa kwa jinsi watu wengi wanavyomtakia mema rais wetu mstaafu kwa kwel inatia moyo sana kuona hatimaye watu wamebadilika kifikra

Si ndio nyinyi mliokuwa mkimlaani na kumkebehi eti dhaifu,mpenda kucheka cheka sasa mmeona eee baada ya moto kuwaka[emoji23] [emoji23]
 
Wengine walisema ni dhaifu, na kuna wengine wanasema ni tapeli, fisadi, n.k. Maanake anatoka clueless anaingia know it all. Kumbuka hata hii sheria ya mtandao ilipasishwa kwenye utawala wake. Watu makini hatuzugiki na hii good cop (Kikwete), bad cop (Magufuli) act. Chupa tofauti, mvinyo ule ule.
 
Hongera sana mzee wetu Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwa kupitisha miaka 66 tangu uzaliwe kule Msoga.
Japo ulikuwa na huruma zako( wengine waliita udhaifu na sasa wanaweweseka) lakini watanzania wenye mapenzi ya kweli na nchi hii hawatasahau pale ulipojitoa kafara na kutoa maamuzi ya haki na dhati ([emoji418] [emoji418] ) ili kuirudisha nchi kwenye mstari.
Asante mzee wetu, tunakutakia maisha marefu yenye afya na amani
 
Mkuu jk nahisi unakumbukwa na watanzania sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…