Alikuwa anapata magunia yake ya STANBIC, sasa tatizo liko wapi? Wache waseme, usiku watalala.JK alikuwa mvumilivu sana katukanwa matusi yote lakini kwake siyo tatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anapata magunia yake ya STANBIC, sasa tatizo liko wapi? Wache waseme, usiku watalala.JK alikuwa mvumilivu sana katukanwa matusi yote lakini kwake siyo tatizo.
Nasubiri na birthday yako mwakani January 25,lazima niwepo maana shughuri ndio desturi waukae.Babake mazaga...
Sheria za mitandao huziogopi ee shauri ykoNi mshenzi type
Duu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wetu wa msoga, Tunakuombea maisha marefu, ila mkuu ungeweka na akaunti yake ya M-peasa ili tumchangie hela apande ndege ya Emirates aende ulaya akapumzike maana anapenda sana kupanda ndege na kwenda ulaya
[emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] leo nimefurahishwa na kushangazwa kwa jinsi watu wengi wanavyomtakia mema rais wetu mstaafu kwa kwel inatia moyo sana kuona hatimaye watu wamebadilika kifikraHappy birthday jk hakika tunakukumbuka sana..hasa ktk kipindi hiki kigumu cha kuisoma namba ya kirumi tunakukumbuka mzee wetu...
Natamani siku zirudi nyuma nisome na kuhitimu kipindi upo madarakani ili nipate kazi jamani poor me
Wengine walisema ni dhaifu, na kuna wengine wanasema ni tapeli, fisadi, n.k. Maanake anatoka clueless anaingia know it all. Kumbuka hata hii sheria ya mtandao ilipasishwa kwenye utawala wake. Watu makini hatuzugiki na hii good cop (Kikwete), bad cop (Magufuli) act. Chupa tofauti, mvinyo ule ule.[emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] leo nimefurahishwa na kushangazwa kwa jinsi watu wengi wanavyomtakia mema rais wetu mstaafu kwa kwel inatia moyo sana kuona hatimaye watu wamebadilika kifikra
Si ndio nyinyi mliokuwa mkimlaani na kumkebehi eti dhaifu,mpenda kucheka cheka sasa mmeona eee baada ya moto kuwaka[emoji23] [emoji23]