Kheri ya kuzaliwa baba wa demokrasia Tanzania.
Mungu akuongezee miaka na afya nzuri retired prezo .Sio lazima kila mtu aone upuuzi wako.. Wakati mwingine Baki nao mifukoni mwako tu...
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.
View attachment 413694
Neno moja kwake.
HBD gwiji la uchumi,diplomasia,siasa,fitna,kukata,n.k
Jakaya katisha kama zile ndege mpya za magufuli khahahhhhhh.Hongera KIKWETE