Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Hongera Kikwete, Mafisadi Chadema wanakumis sana
 
Happy birthday JK ninakumiss sana, enzi zako maisha yalikua murua lkn sasa hivi tunaitafuta kwa tochi
 
HBD gwiji la uchumi,diplomasia,siasa,fitna,kukata,n.k

acha angalau kitabu kuelezea mambo mbalimbali,historia yako,mapambano ya kisiasa kitaifa na kimataifa na mengineyo,mpe kazi Pasco makabrasha yako akuandalie proposal, aandae andiko,kila baada ya chapta unapitia,unamwaga mapendekezo n.k,
 
giphy.gif
 
Happy earth-strong JK. One love [emoji111]
 
Nauliza tu waungwana hivi kuna msanii yeyote anaweza akampost magufuli kumpongeza kwa siku yake ya kuzaliwa au kumpa pongezi juu ya jambo lolote? Maana leo nimeona si chini ya wanamuziki na waigizaji wasiopungua 50 wakimpa hongera ya kutimiza miaka fulani ya kuzaliwa


1475836448085.jpg





1475836457888.jpg





1475836467564.jpg


Hawa ni miongoni mwao walionesha upendo wao kwa Jakaya Kikwete sidhani kama magufuli ataoneshwa upendo kama huu ni hii ndo raha ya kuishi vizuri na vijana .
 
Back
Top Bottom