jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
mshauri huyu mabana matumizi..apunguze kubana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawajibika kwa hili.Ni mshenzi type
Kwenu ndivyo mlivyofundishwa kutusi wakubwa?!!!Ni mshenzi type
Mhe Kikwete aliiongoza nchi hii katika level ya juu sana ya demokrasia na alizingatia misingi ya uongozi ambayo imekuwa ikitumiwa hata na mataifa makubwa. Wajuzi wa mambo wanasema laiti Mhe Kikwete angeiongoza nchi iliyoendelea, basi nchi hiyo ingeendelea zaidi. Bahati mbaya ni kwamba nchi ambayo taasisi zake ni dhaifu mfano mahakama, polisi, TAKUKURU, n.k Rais mstaarabu sana hawezi kuifikisha nchi hiyo mbali katika nyanja ya uchumi. Kwa jinsi watanzania tulivyo na vichwa vigumu hasa wizi wa mali za Umma na uzembe nafikiri huyu anayeitwa "dikteta" atatufaa. HHH BBB DDD JK,,, Popote ulipo juwa watanzania tunakupenda sanaSisi wengine tulimlaumu sana, tukambeza sana, tukamcharau sana kwa upole wake hadi kumuita "dhaifu", lakini leo tunamkumbuka, tunameheshimu na kuukumbuka upole wake na faida zake.
Ama Kweli nabii siku zote hathaminiwi nyumbani! .
HBD JMK.
Pasco
Hepi bath dei Mr President
Ulipoondoka ndio niligundua kila mtu pamoja na mapungufu yake huwa na mazuri yake pia