Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

IMG_2099.jpg


Happy Birthday Ho. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Nakuombea heri na baraka tele katika siku hii muhimu na siku zijazo. Nakuombea Mungu azidi kukulinda na kukutunza wewe na familia yako yote.
 
Happy born day our former president Mungu akupe maisha marefu uje kumshuhudia Lowasa akiwa rais kupitia Chadema
 
Sisi wengine tulimlaumu sana, tukambeza sana, tukamcharau sana kwa upole wake hadi kumuita "dhaifu", lakini leo tunamkumbuka, tunameheshimu na kuukumbuka upole wake na faida zake.
Ama Kweli nabii siku zote hathaminiwi nyumbani! .
HBD JMK.
Pasco
Mhe Kikwete aliiongoza nchi hii katika level ya juu sana ya demokrasia na alizingatia misingi ya uongozi ambayo imekuwa ikitumiwa hata na mataifa makubwa. Wajuzi wa mambo wanasema laiti Mhe Kikwete angeiongoza nchi iliyoendelea, basi nchi hiyo ingeendelea zaidi. Bahati mbaya ni kwamba nchi ambayo taasisi zake ni dhaifu mfano mahakama, polisi, TAKUKURU, n.k Rais mstaarabu sana hawezi kuifikisha nchi hiyo mbali katika nyanja ya uchumi. Kwa jinsi watanzania tulivyo na vichwa vigumu hasa wizi wa mali za Umma na uzembe nafikiri huyu anayeitwa "dikteta" atatufaa. HHH BBB DDD JK,,, Popote ulipo juwa watanzania tunakupenda sana
 
Happy birthday Hon retired President Mungu akujalie mapumziko yenye kheri
 
HBD Mr Kikwete...
Tunashukuru siku hizi hakuna tena MIZAHA..MIZAHA na KUCHEKA..KUCHEKA kama kipindi cha miaka 10 iliyopita.
 
Back
Top Bottom