Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi.

Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
 
Nakunywa lita mbili unusu ila kila niendako siwezi kuondoka bila kwenda chooni .

Basi marafiki na watu baki wameamua kuniita mzee kakojo maana wanajua kila tuendapo mimi na vyoo ni pete na kidole
 
Nikiwa dar nakunywa lita 4 ila nikiwa sehemu za baridi nakunywa lita 2 tu
 
Back
Top Bottom