Leo ni siku ya makomwe duniani

Leo ni siku ya makomwe duniani

Si dhani kama ni sahihi kukejeli maumbile ya mwanadamu wenzako katika hali yoyote ile. Kuwa na hali hiyo kwanza si ulemavu. Hakuna mwanadamu anayejiumba yote ni mipango ya Mungu na hakuna mwanadamu bora kuliko mwingine wote tupo sawa.
 
Yani kabisa mtu mwenye jinsia ya kiume unatoa posti kama hii? Huoni aibu?
 
ephen_
GOPIWAtWoAEXCQ_.jpeg
 
Bila Shaka,
Vincent Company ana furaha kweli siku ya leo.
 
Back
Top Bottom