Sex body
JF-Expert Member
- Nov 30, 2023
- 407
- 900
Hapo udhalilishaji uko wapi?Acheni udhalilishaji ingekuwa picha ya mama yako au mtoto wako inatumika hivi ungefurahi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo udhalilishaji uko wapi?Acheni udhalilishaji ingekuwa picha ya mama yako au mtoto wako inatumika hivi ungefurahi?
Hivi kumbe, kila siku iendayo ina jambo lake la kuadhimisha. Eti jana tarehe 02/08 ilikuwa siku ya bia..!Leo August 3 2024 ni siku ya makomwe dunia as wazungu wanaita big forehead day.
Mtagi mwana JF mwenye komwe
Sio mm ni siku kama siku nyingineSi dhani kama ni sahihi kukejeli maumbile ya mwanadamu wenzako katika hali yoyote ile. Kuwa na hali hiyo kwanza si ulemavu. Hakuna mwanadamu anayejiumba yote ni mipango ya Mungu na hakuna mwanadamu bora kuliko mwingine wote tupo sawa.
Na siku ya madadaKesho ni siku ya marafiki duniani.
Huyu akikupiga kichwa basi
Yah ni siku ya jamaican party pia leoHivi kumbe, kila siku iendayo ina jambo lake la kuadhimisha. Eti jana tarehe 02/08 ilikuwa siku ya bia..!
Leo August 3 2024 ni siku ya makomwe dunia as wazungu wanaita big forehead day.
Mtagi mwana JF mwenye komwe
piga uwa huyu atakua Manka.
Jikazeeeee mwaya🤣🤣🤣🤣Hii ni Direct attack.....Nimelia sana..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣....
Ahsante Mwaya🤣🤣🤣Jikazeeeee mwaya🤣🤣🤣🤣