Leo ni siku ya makomwe duniani

Leo August 3 2024 ni siku ya makomwe dunia as wazungu wanaita big forehead day.

Mtagi mwana JF mwenye komwe
Hivi kumbe, kila siku iendayo ina jambo lake la kuadhimisha. Eti jana tarehe 02/08 ilikuwa siku ya bia..!
 
Si dhani kama ni sahihi kukejeli maumbile ya mwanadamu wenzako katika hali yoyote ile. Kuwa na hali hiyo kwanza si ulemavu. Hakuna mwanadamu anayejiumba yote ni mipango ya Mungu na hakuna mwanadamu bora kuliko mwingine wote tupo sawa.
Sio mm ni siku kama siku nyingine
 
Watu wanacatch feeling wakati unabidi uwe proud of it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…