Leo ni siku ya marafiki duniani

Leo ni siku ya marafiki duniani

Nimekutungia wimbo ujue...

Producer,,,, Kimambo
Mix by Laizer
Msanii .... Poor brain
Video vixen ms R
Nyimbo.... Sijiwezi
Mxiuuu nmecheka jamani we lofaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mxiuuu nmecheka jamani we lofaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mii nipp serious hapa ujue...
Kuna ngoma natoa an hii naimani hapa dasalam itakua gumzo....

Alafu sasa tuna shoot zanzibar... Au unaogopa kupanda boti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mii nipp serious hapa ujue...
Kuna ngoma natoa an hii naimani hapa dasalam itakua gumzo....

Alafu sasa tuna shoot zanzibar... Au unaogopa kupanda boti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siwezi kujishaua mmπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulifichwa wapi kwanza uduguu?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ba tamu akupe nafasi atakukondesha mdogo angu khaaa.!!
Nwei sijakumbwa na lolote niko na mahaba na faranga mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu muache shemejioo, wee kuwa na mtu anakulinda na kuku spoil mchezooo?

Watu wanatuma vibaka kwa watu wanaocheza na ndoa zao, mie hela ya kukodi natoa wapiii? Kwanza ninayoo?

Wee huogopiiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mfyuuuu!!
Yule afande penzi lilimnogea sana.!!
Haya ma tamu wa ba tamu endelea kula raha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfyuuuu!!
Yule afande penzi lilimnogea sana.!!
Haya ma tamu wa ba tamu endelea kula raha
Rahaaa na utamuu ninao na natambaa nao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom