Majivuno au ndo ukweli..usinirudishe nyuma huko nilishavuka..mengine hayakuhusu tuliaHaaa nimekusoma kuwa wwe mwanamke kwanza unamajivuno yakizamani na kishamba kweli. Et mimi kulala na njaa nimeshavuka kitambo.... una bwbwaja hta hujifikirii.. nani dunia hii kavuka matatizo....nani dunia hii anajua kesho itakuaje..uyo mwanaume namuhurumia ameokota limao kwenye mchungwa.
Wanawake wa show room hawa, siku yanne lakn upo busy kupost jf jinga wwHbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
hahahahaaaaa yani wewe hizi siku nne tu??!!!! yaani kama ni daldala kutoka mwenge kwenda posta basi hata bamaga halijafika unafurahia... hahahaaa ndoa za DOTCOM hizo subiri imalize japo mwaka mmoja kama utaweza kufika hapo ndo unaweza ukakohoa kidogo ukaskika. lkn siku nne!!!! LOH!!!!Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
Wewe ni mape pe madunga epe nampa pole mmeo kama kweli umeolewaKuna watu humu wana heshima sana lkn kuna nijitu mingine pia Ina akili kama za mbwa asiye na mfugaji kila jalala yapo..
Aiseee hizi multiple id ngoja mod tulifanyie kaziiNinamjua moniccca vizuri nimesoma nae St Francis na baadae ifm..ni mtu mwenye nidhan sana watakuwa wamemkoroga ndiyo maana amewajibu hivyo..wengi waliomba mrejesho na yeye ndivyo alivyofanya sasa mashambulizi yanatoka wapi? Ange kaa kimya wasingenyamaza wangemdai mrejesho! Acheni hizo bana kuweni wastaarabu msitafute undani wa mtu.
Isitoshe hapa tunaojuana ni wachache sana.
Acha kuishi kwa mazoea..usinifananishe na wastara wala yeyote, mimi ni Mimi na wewe ni wewe, njia zako siyo zangu na tabia zako pia..ndoa haina uzoefu kuna watu wana miaka 40 kwenye ndoa na wameachwa nini miaka 23? By the way kama tungekuwa na ufahamu mzuri ungeelewa nilichomaanisha lakn kwakuwa umekurupuka na kufuata mkumbo umeambulia haya toka kwangu vngnevyo ninakuheshimu sana tu.hahahahaaaaa yani wewe hizi siku nne tu??!!!! yaani kama ni daldala kutoka mwenge kwenda posta basi hata bamaga halijafika unafurahia... hahahaaa ndoa za DOTCOM hizo subiri imalize japo mwaka mmoja kama utaweza kufika hapo ndo unaweza ukakohoa kidogo ukaskika. lkn siku nne!!!! LOH!!!!
WAKUPIMWA WEWEE...
niulize mie ninamiaka 23 sasa ndani ya ndoa nikupe yaliyomo humo... utatamani kuchomoka kama sio mwelewa. ndoa za dotcom kiukweli huwa hazidumu. muulize WASTARA ndani ya ndo siku 88 wewe siku 4 tu hahaaaa.
wala ucpaparuke na kujitapikia buree.. c umeshawekwa ndani! subiri siku ziende tu .. hazigandi tutakuskia tena hapa kama ulivojimwaya. sijui utajimwaya tena kama hivii auuu....Acha kuishi kwa mazoea..usinifananishe na wastara wala yeyote, mimi ni Mimi na wewe ni wewe, njia zako siyo zangu na tabia zako pia..ndoa haina uzoefu kuna watu wana miaka 40 kwenye ndoa na wameachwa nini miaka 23? By the way kama tungekuwa na ufahamu mzuri ungeelewa nilichomaanisha lakn kwakuwa umekurupuka na kufuata mkumbo umeambulia haya toka kwangu vngnevyo ninakuheshimu sana tu.
Utasubiri sana mtu mzima hovyo wewewala ucpaparuke na kujitapikia buree.. c umeshawekwa ndani! subiri siku ziende tu .. hazigandi tutakuskia tena hapa kama ulivojimwaya. sijui utajimwaya tena kama hivii auuu....
MOVIE INAENDELEA....
Ni mape ..pe na kautahi. ra kwa mbali asubuhi yote hii badala ukae na mmeo uko kwenye simu si bure una jambo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umepe pole yanakuhusu nini?
Kama njoo uolewe wewe dume nzima Lina mambo ya kishoga lol!
AFU UKITAKA KUJUA KAMA UMEJICHORESHA .. HEBU ONA COMMENT ZOOOTE HAPA ZINAKUMWAGA TU. UMEFANYA MAKOSA KUJIVUA GAGULO LAKO HADHARANI.. ONA SASA!!! POLE SANA MWALI WA KIZALAMO WE.Kumbee, unanijua kuliko nijijuavyo mwenyewe!
Moniccca achana na marumbano mama hutawezana na watu wa mitandaoni fanya yako mbona bado asbh sana, Ina maana huna chakufanya mpa ukimbilie mtandaoni? Plz respect yourself that is too muchAcha kuishi kwa mazoea..usinifananishe na wastara wala yeyote, mimi ni Mimi na wewe ni wewe, njia zako siyo zangu na tabia zako pia..ndoa haina uzoefu kuna watu wana miaka 40 kwenye ndoa na wameachwa nini miaka 23? By the way kama tungekuwa na ufahamu mzuri ungeelewa nilichomaanisha lakn kwakuwa umekurupuka na kufuata mkumbo umeambulia haya toka kwangu vngnevyo ninakuheshimu sana tu.
ninamashaka we wala hujaolewa ila umewekwa ndani weyee...Utasubiri sana mtu mzima hovyo wewe
hahaha bora umemvuta gagulo lake maana alishaanza kuhemuka hahaaaMoniccca achana na marumbano mama hutawezana na watu wa mitandaoni fanya yako mbona bado asbh sana, Ina maana huna chakufanya mpa ukimbilie mtandaoni? Plz respect yourself that is too much