afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
Sasa unajuaje kama Jamaa ni fundi ?Ndiyo nilikuwa bikra kbsa
Nauliza ushawahi kukutana na Mafundi wengine labda kufanya Comparison ?Ameshanioa ndiyo maana
Sasa test nyingine ndio uchore ConclusionSijawahi huyu ndiye wa kwanza
HahahahahahKwani unadhani ni pombe ya kienyeji kule vijijini kwenu lazima uonje onje kwa wauzaji wengi ndipo ufanye maaamuzi
Njoo basi ujaribu ufundi wanguNipe basi like unacheka kimyakimya
thawaa moniccam ila naifuatilia daily yani.....kama ilivokuwa ya kudakwa ofisini...sikosi kituWewe unajua, kujua kwako huko hakuwezi kufanya ikawa hivyo unavyojua wewe
Sawa mkuu kidogo tunaongeza siku za kuishi
unaesabuuuu?????Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
Kicheche!!Hbr zenu wanajamii wenzangu.