Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,

Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.

moja ya makosa makubwa kabisa katika dini ya kiislamu mwanandoa kutoa siri za ndoa ,
huu ni wazimu wa kiwango cha juu sana,
 
Mrembo uliolewa kweli? i thought you were kidding!!


[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
moja ya makosa makubwa kabisa katika dini ya kiislamu mwanandoa kutoa siri za ndoa ,
huu ni wazimu wa kiwango cha juu sana,
Unafikiri kila mtu muislam!!


Jin.ga kabisa wewe...
 
moja ya makosa makubwa kabisa katika dini ya kiislamu mwanandoa kutoa siri za ndoa ,
huu ni wazimu wa kiwango cha juu sana,
Nenda kafundishe madra hapa si penyewe
 
...ulishawahi kuugua kichaa vile eti?
Wanaougua kichaa ni wale wanawake wanaoolewa hata wiki hawana ktk ndoa ila wako bize kwenye mitandao ya kijamii kutangaza kuwa fainali wametoa gundu, na pia kutangaza siri za wenza wao. Huo ndo ukichaa, sijawahi umwa ukichaa.
Mi ni Me.
 
Unapataje nafasi ya kuwa Jf na kujibizana na watu kama hivii na ni siku ya 4.

Huu muda mtu unakua busy na hubby, all attention kwake..kupigana miti kwa kwenda mbele na hichi ki whether... sa mwenzangu mmhh
 
Hbr zenu wanajamii wenzangu.

Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.

Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..

Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.

Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.

Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.

Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..

Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.

Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.

Karibu kama kuna mwenye lolote.
Wewe ulikuwa Bikra ?
 
Back
Top Bottom