MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
ila naona wewe hata kungwi hukupata ndo mana leo umejianika bila kujua heshma ya ndoa.Hongera zako unajitahidi sana kushauri unaweza kuwa kungwi mzuri sana baadae kama ukiacha umbea na ufukunyungu ili kujengea heshima kwenye jamii.
pili usisahau kuweka akiba ya maneno ili baadae usije aibika.
nawasiwasi hata aliyekuweka ndani atakuwa anaupungufu kwenye UBOngo wake