Vivac huyu dada hajielew flan hivi...Yaani mi mwenyewe nimemuona kitambo tu..Kaanza na tangazo la kutafuta mume humu jf,akaja na mrejesho kampata cjui walikua wanasoma wote miaka hiyo chuo na akadai anaolewa nae cjui baada ya mwez mmoja wa kujuana,akaja na thread eti huyu mchumba anamnyima dudu had ndoa,akaja tena ooh kesho kutwa naolewa,akaja siku ya harusi leo naolewa...Hata sasa kaleta mrejesho et mume anayaweza..Huoni kama n limbukeni huyu??
Labda hajqwekwa ndani na kupewa somo.
Shoga msitiri mumeo,maadili yq za kitanzania mke anatakiwa awe msitiri,ya chumbani yaishie chumbani myajue mume na mke tu.Ukishavuka mlango kuingia sebuleni anza ya hapo.Upoo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usituaibishe!
We ni lini uliwahi kutana na mwanamke anaejielewa,mwanamke haswa hlf akakusimulia anavyopeana unyumba na mumewe,asiejitambua ndo yuko hivo na ndo mnajazana saluni kuwaongelea waume zenu..
Badilika