Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

UTANISAIDIA NINI KAMA UPO KWENYE NDOA YA SIKU 4? kampikie mumeo au huna kwanza mvua ndoa hata mwezi bado mitandaoni hahahah
umeambiwa post picha za harusi umekimbilia mitini duuuuhhhh
Unajua siwezi acha ingia humu mitandao kwakuwa ninakazi ngumu ya kuelimisha wajinga kama wewe..isitoshe house girl yupo kwaajili ya kupika..niambie basi nikusaidie nini?
 
Bado siamini kama ni ndoa ya kweli au ni mwendelezo wa tamthilia;
Hivi ni busara kuanika mambo ya chumbani!
Mume anajiskia je kuona mke aleta mambo ya chumbani kijiweni!
Ikiwa unaleta mrejesho wa mazuri na akikosea ci utaleta pia!
Kwanini ya chumbani yasibakie humo!
Eti ulitaka kuonja kabla ukanyimwa au yeye ndo alitaka!
Mme pima afya kweli au umemwingiza chaka mzee mwenzangu!
...ipo ciku ukiwa unapewa utaripoti live kuwa jamani eee ndo twapeana..
Duuh hongera kwa kuwa muwazi
Nitakuwa reporter siku hiyo usijali mtumishi,live kutoka chumbani kwa moniccca
 
Unajua siwezi acha ingia humu mitandao kwakuwa ninakazi ngumu ya kuelimisha wajinga kama wewe..isitoshe house girl yupo kwaajili ya kupika..niambie basi nikusaidie nini?

Kama house girl yupo kwaajili ya kupika wewe ni kuchat tu, trust me ndoa haitadumu
Sorry kwa huo ukweli mchungu
 
kiazi kweli wewe ndoa changa unamtegemea hg kweli hata huyo mumeo akapimwe hajitambui MKE HUJUI MAJUKUMU YAKO
bado najiuliza umeolewa kweli au nishushe maana nakuona kama mtoto vile NDOA SIO MCHEZO au unadhani ukiolewa ni dudu tu
UKAOMBEWE WEWE
 
Aliyekwambia ndoa nikupika ni Nani? Lkn sikulaum sana ni mtazamo wa wankijiji kama wewe so una haki ya kusema hivyo
 
kiazi kweli wewe ndoa changa unamtegemea hg kweli hata huyo mumeo akapimwe hajitambui MKE HUJUI MAJUKUMU YAKO
bado najiuliza umeolewa kweli au nishushe maana nakuona kama mtoto vile NDOA SIO MCHEZO au unadhani ukiolewa ni dudu tu
UKAOMBEWE WEWE
Nimekwambia unashida gani acha kuzunguka au nawewe ni domo zege?
 
Aliyekwambia ndoa nikupika ni Nani? Lkn sikulaum sana ni mtazamo wa wankijiji kama wewe so una haki ya kisema hivyo

Hujui wanakijiji ndo tuna hela?

Wewe hujafundishwa maana ya ndoa, nitafute nikupe counselling
I am telling you the truth! Ndoa siyo kupika tu ila kuna majukumu wewe kama mama house lazima uyafanye, not only at the bed!
Mnakujaga kureplacewa na ma HG halafu mnalalamika kumbe HG ndo anatimiza role kubwa zaidi ya Nyumba yako
Watchout
 
Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,

Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.
Vivac huyu dada hajielew flan hivi...Yaani mi mwenyewe nimemuona kitambo tu..Kaanza na tangazo la kutafuta mume humu jf,akaja na mrejesho kampata cjui walikua wanasoma wote miaka hiyo chuo na akadai anaolewa nae cjui baada ya mwez mmoja wa kujuana,akaja na thread eti huyu mchumba anamnyima dudu had ndoa,akaja tena ooh kesho kutwa naolewa,akaja siku ya harusi leo naolewa...Hata sasa kaleta mrejesho et mume anayaweza..Huoni kama n limbukeni huyu??
Labda hajqwekwa ndani na kupewa somo.
Shoga msitiri mumeo,maadili yq za kitanzania mke anatakiwa awe msitiri,ya chumbani yaishie chumbani myajue mume na mke tu.Ukishavuka mlango kuingia sebuleni anza ya hapo.Upoo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usituaibishe!
We ni lini uliwahi kutana na mwanamke anaejielewa,mwanamke haswa hlf akakusimulia anavyopeana unyumba na mumewe,asiejitambua ndo yuko hivo na ndo mnajazana saluni kuwaongelea waume zenu..
Badilika
 
Sawa nimekuelewa lkn Nina vijiswali vichache..umeolewa?
 
Asante but sichaguliwi cha kufanya chchte ntakachojisikia kukitumbukiza humy sitassita kufanya hivyo kwani ninajua nilifanyalo nyie wa vijijini endeleeni kutunza siri hata kama mkidaiwa tigo nakutoe tunze tu siri mwisho wa siku mtajaza Ccbrt kuomba matibabu
We dada una matatizo sasa huyo mwenzio hajakutukana wala hajakuandikia jambo lolote baya lakini we umejibu upupu tuu .wee una stress wala haupo happy kama unavyoaminisha watu wakuone .[emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Jichunguze halafu uje kwa upya plz
 
Back
Top Bottom