Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Vivac huyu dada hajielew flan hivi...Yaani mi mwenyewe nimemuona kitambo tu..Kaanza na tangazo la kutafuta mume humu jf,akaja na mrejesho kampata cjui walikua wanasoma wote miaka hiyo chuo na akadai anaolewa nae cjui baada ya mwez mmoja wa kujuana,akaja na thread eti huyu mchumba anamnyima dudu had ndoa,akaja tena ooh kesho kutwa naolewa,akaja siku ya harusi leo naolewa...Hata sasa kaleta mrejesho et mume anayaweza..Huoni kama n limbukeni huyu??
Labda hajqwekwa ndani na kupewa somo.
Shoga msitiri mumeo,maadili yq za kitanzania mke anatakiwa awe msitiri,ya chumbani yaishie chumbani myajue mume na mke tu.Ukishavuka mlango kuingia sebuleni anza ya hapo.Upoo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usituaibishe!
We ni lini uliwahi kutana na mwanamke anaejielewa,mwanamke haswa hlf akakusimulia anavyopeana unyumba na mumewe,asiejitambua ndo yuko hivo na ndo mnajazana saluni kuwaongelea waume zenu..
Badilika
Huyu hajaolewa ila anatamani kuolewa anajitekenya na kucheka mwenyewe .tumuonee huruma .
 
Unajua siwezi acha ingia humu mitandao kwakuwa ninakazi ngumu ya kuelimisha wajinga kama wewe..isitoshe house girl yupo kwaajili ya kupika..niambie basi nikusaidie nini?
Kwa maneno haya tuuu wewe unaonyesha wazi ni LIMBUKENI....umekuja mjini kwa mjomba .
 
Kwa mjomba wako? Ungejua wajomba wote wameuza nyumba zao nakuhamia chanika wala usingelegeza domo lako hapa
 
Wewe umeolewa? Wenzio wote wamekimbia nawewe unakuja na mashauzi yako shauri yako utanyolewa denge
Hawajakimbia ila wanamajukumu si kama wewe kuutwa jf hata muda wa kufanya usafi wako unapata wapi.mi cshindani na wewe bali nakutibua tibua ili kipande nione unavyotatarika nikuchekeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hbr zenu wanajamii wenzangu.

Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.

Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..

Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.

Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.

Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.

Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..

Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.

Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.

Karibu kama kuna mwenye lolote.
Bado mapema mnoo kuleta mrejesho
 
Mpumba..vuu wewe umekimbia jandoni ndo maana mpka Leo unatabia za kike we endelea kugawa tigo kwa wanaume wenzio
Unajifanya umesahau ee yaani Kukutafuna jicho leo nimekuwa na tabia za kike?basi ntakua nakupa KONI tu.
 
Asante but sichaguliwi cha kufanya chchte ntakachojisikia kukitumbukiza humy sitassita kufanya hivyo kwani ninajua nilifanyalo nyie wa vijijini endeleeni kutunza siri hata kama mkidaiwa tigo nakutoe tunze tu siri mwisho wa siku mtajaza Ccbrt kuomba matibabu
MBONA TIGO UAIONGELEA SAAANA,NINA MASHAKA NAWEWE KAMA UNAWEZA KU JAMBA MAANA UTAMWAGA KIMBA.
 
Ana matatizo kichwan kwann unatoa siri za chumbani kwako?? Mumeo ana bidii akakupime kichwa chaji labda ww n chizii
 
Kumbe nawewe unavijitabia vya kike? Ndiyo maana unamdomo mrefu halafu ukiongea as if lianguke chini, puuuuuu!
HIVII HUONI AIBU ULIVOLIANIKA GAGULO LAKO HADHARANI??
Kama kweli umeolewa nahuyo mume GEBWE weka picha tukuone
 
ENGLISH VIAZI UNAJIAIBISHA MBULULA ONGEA KISWAHILI UNAJIVUA CHUPI HADHARANI.
     ....Ati "they are boring me"
Msomi wa masters huyo...Mwanamke akishavuka miaka thelathini bila hata dalili ya mchumba lazima achachawe...Na akimpata huyo wa kuoa atataka hata aolewe kesho..ye na mumewe wote walikua desperate na ndoa ndo mana hivi!
Limbukeni wa ndoa katika ubora wake! haukuwa na ulazima wa kujibu swali linalohusu mambo yako ya faragha!
 
Back
Top Bottom