Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Hongera zako unajitahidi sana kushauri unaweza kuwa kungwi mzuri sana baadae kama ukiacha umbea na ufukunyungu ili kujengea heshima kwenye jamii.

pili usisahau kuweka akiba ya maneno ili baadae usije aibika.
ila naona wewe hata kungwi hukupata ndo mana leo umejianika bila kujua heshma ya ndoa.
nawasiwasi hata aliyekuweka ndani atakuwa anaupungufu kwenye UBOngo wake
 
Wasiwasi wanini kwa jambo lisilokuhusu? Emu acha kutuhadaa hapa..by the way sura yako inatisha bhana you better go to hell.
 
Kwendraaaa!!ckujui wala hunijui ila nashukuru dawa imekuingia..
Safari njema ya ndoa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji104] [emoji112]
 
Kwingwi wangu niwewe, ushasahau Mara hii au ndio viriba hivyo?
 
Wasiwasi wanini kwa jambo lisilokuhusu? Emu acha kutuhadaa hapa..by the way sura yako inatisha bhana you better go to hell.
hahahahaaaa HEBU CHUKUA KIOO UJITAZAME mtoto wa kizaramo weyee.
huyo aliyekudaka heawani mbona hurumaaaa!!!
 
Yaani ktk vyoooooooooote, umekumbuka mambo ya seksi tu.
Wee ni shida.
Pia yawezekana usongo wako ndo umekufanya uone yuko poa, subiri baada ya miaka 5 kama Princess21, utatuletea mrejesho.
 
Kwendraaaa!!ckujui wala hunijui ila nashukuru dawa imekuingia..
Safari njema ya ndoa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji104] [emoji112]
Dawa gani tena? Kwann wew nigonjwa?
Ndiyo maana kumbe ni mgonjwa wa akili!?
 
Jifanye tu huelew na dawq imekuingia...Angalia majibu yako unavobabaika! lala basi upumzike
Asante kwa kufanya Siku iishe haraka, unajua hizi likizo ukikosa cha kufanya una boreka sana
 
Hawajakimbia ila wanamajukumu si kama wewe kuutwa jf hata muda wa kufanya usafi wako unapata wapi.mi cshindani na wewe bali nakutibua tibua ili kipande nione unavyotatarika nikuchekeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpuu..MBA..vu wee
 
Back
Top Bottom