Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Usisahau kuwa zamani sio sasa..ingekuwa zamani bado ipo hata wewe usingekuwepo.

Asante nimekaribia na nimejiandaa kukabiliana na changamoto zote.
Karibu sana. Sasa mimi nina ombi moja la mwisho. Naomba picha ya harusi ili niamini.
 
Asante kwa mrejesho wenye imani na kuwatia moyo wanawake wengine wenye hofu ya kuolewa kabla ya sex.hongera sana.
 
wwe
wewe nawe una wivu! mwache mwezio aseme yote hapa! inaonekana Monica ni maji mara moja! hata sasa nikitaka kugonga ni ruksa!
 
Hahahaha! Umenichekesha sana lkn kumbuka zama za utandawazi hizi..pole pale nilipokuaibisha
 
Umeanza uchoyo na ndoa bado mbichi. Utakosa baadhi ya baraka zangu
 
Nimekupenda bure. To be honest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…