Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

endelea kushinda JF tu, ndani ya miez 6, tutasikia ukihitaj msaada wa matatizo kwenye ndoa!
 
Unashauka tu binti mambo ya ndani kaa nayo hukohuko chumbani huku ya nini tena, siku ukimfuma na housgel utamtukana wakati now unamsifia, ushauri wa bure usilete mambo ya mumeo humu kuwa na heshima senzii.
 
URUDI TENA BAADA YA SIKU MIA, ila kabla hujarudi ukipata nafasi muulize amufunzwa na nani majamboz
 
Ukitaka upate jina JF tengeneza series fulani ya mapenzi wewe kila baada ya siku 3 toa episode mpya elezea lolote la uongo yaani kama unaandika ndoto zako vile
JF nitakupenda milele mpaka kifo kitutenganishe maana umu ndani kuna maajabu ambayo hauwezi kuyazoea na wanakuja na kuondoka ukistaajabu ya fulani utayaona ya fulani pia.
 
Basi usichepuke sasa maana unavyoonekana huchelewi kwenda kutafuta dushe lingine kubwa zaidi
 
Hayo mambo n ya ndan sio kuweka hadharani hujafundwa weyeeee
 
mwanamke aliyefundwa hatakiwi kueleza kila kitu hasa ya ndani yy na mumewe
ila huku mwisho umefanya vizur kuwashauri wenzio ila cha kuongeza wasipende sex kabla ya kufunga ndoa ni dhambi
 
Sawa moniii, nimefurahi umeupata mtarimbo wa kukutoshea, ila kweli, sidhani umetosheka kisawia. Usingelikuja mapema hivyo. Kuna jambo unataka kutuficha.
Haya; semea chinichini asisikie, kalikuwa kabamiaaaa. Usiogope kusema, hayumo humu jf. Sisi ni wasiri wako
 
Back
Top Bottom