Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Usisahau kuwa zamani sio sasa..ingekuwa zamani bado ipo hata wewe usingekuwepo.

Asante nimekaribia na nimejiandaa kukabiliana na changamoto zote.
Karibu sana. Sasa mimi nina ombi moja la mwisho. Naomba picha ya harusi ili niamini.
 
Asante kwa mrejesho wenye imani na kuwatia moyo wanawake wengine wenye hofu ya kuolewa kabla ya sex.hongera sana.
 
wwe
Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,

Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.
wewe nawe una wivu! mwache mwezio aseme yote hapa! inaonekana Monica ni maji mara moja! hata sasa nikitaka kugonga ni ruksa!
 
Adi naona aibu yaan mambo y chumban we na mwenza unayaanika hapa?????? jiandae kutalikiwa punde,,, kila stage unabwabwaja ama kwel ata mume mwenyewe akipita hapa ataanza mwendo wa new ID,,,,, ivi ndoa yako haikuwa na kitchen party?????? unatuaibisha wew,,,,, au we ni mwajiriwa w jukwaa hili ili watu wavutiwe na jukwaa kutokana na mada zako?????????
Hahahaha! Umenichekesha sana lkn kumbuka zama za utandawazi hizi..pole pale nilipokuaibisha
 
Umeanza uchoyo na ndoa bado mbichi. Utakosa baadhi ya baraka zangu
 
Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,

Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.
Nimekupenda bure. To be honest
 
Back
Top Bottom