Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Hala
Halafu ukicheza unaweza usiolewe kabisa wewe full mcharuko Monicca
 
Duuhh jamaa anagonga bao ngapi kwa siku? Au anabadilishia gia humo kwa humo?
 
Monii hongera mama...

Una kazi ya kulea ndoa sasa. Mungu akujalie furaha, utii,hekima na uvumilivu kwa ndoa yako
 
kama ungefichaficha vileee,umeanika sana da monny.
 
Ni mekusamehe mke wangu. Pia nakushukuru kwa kunikubali kwa shuguli. Hata hivyo napenda kukufahamisha kwamba wakati nikiwa nakusubiria wewe hadi ndoa, nilikuwa napraktizi kwa wadada wengine wawili ambao wewe huwajui (na si vizuri kuwajua) ndio maana umeona pafomansi yangu iko juu. si ushawahi kusikia ka msemo kakizungu ka "praktisi meks pafecti?". Ila naamini nawe utanisamehe kama nilivyokusamehe.
 
Mswahili utamjua tu , mbona shughuli hili nalo la kuleta humu nahisi kitchen hukupewa pole sana
 
Mh...yaani we kila step ya ndoa yako unatueleza huku na mpaka kuridhishwa naye? Kwani unafikir wenzio hawaridhishwi ila wamekaa kimya?

Haya hebu tuambie toka mfunge ndoa umekuwa ukimpikia nini kuanzia asbh mpaka usiku?...huwa anavaa boxer za namna ipi?
 
Hongera moniccca kumpata 'charsmatic Hubby' ila ni mapema mno kutoa tathmini ya ugumla wakati ndoa ni life time commitment!
 
siku nne tu tayari unatoa tathmini ya ndoa. are you serious? unayajua maisha ya ndoa kweli au unaigiza?
 
Mswahili utamjua tu , mbona shughuli hili nalo la kuleta humu nahisi kitchen hukupewa pole sana
Kitchen nilipewa ya kutosha, siku ya harusi yako we niite ntakupa kitcheni ya kukutosha.
 
duuuuh!! ndoa za siku hizi mweeeeeh!!!
kwahiyo updates zote za ndoa yako utakuwa unaziweka jf? haya kilalakheri mama.
Ndiyo ntaziweka hata ulitaka nitakutumia PM kbsa usipate shida
 
siku nne tu tayari unatoa tathmini ya ndoa. are you serious? unayajua maisha ya ndoa kweli au unaigiza?
Nayajuaje wakati ndiyo kwanza nayaanza..nipe muda ntayajua tu.
 
Mkeo umemuacha nyumbani huku umebugi men
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…