KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Nawe nae acha kuchokoza dini za wenzetu PUNGUANI SANA WEWE.Unafikiri kila mtu muislam!!
Jin.ga kabisa wewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe nae acha kuchokoza dini za wenzetu PUNGUANI SANA WEWE.Unafikiri kila mtu muislam!!
Jin.ga kabisa wewe...
YA MBELE AU NYUMA?Ndiyo nilikuwa bikra kbsa
Usijali mke wangu... hii yako na leo nitakupa zaidi[emoji8]Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
monicca mambo mdada...Umekurupuka
Shwari, naona mlimaliza salama...Poa vip
Ndoa ni zaidi ya tendo la mapenzi,Utakuja tu tena ndoa si kugegedana tuu
Pokea [emoji8] moniccaSalama kbbsa
hiyo wala haiunguzi mrembo,[emoji4]Weka chini
Kuna watu hawanitakii mema humu Jf hasa MMU, lengo lao kubwa nikukose wewe,[emoji19] [emoji18]Kheeee! Juzi niliambiwa umefariki, umefufukia wapi tena?
Nipo sana, watatangulia hao wanaonichuria, naomba ile zawadi uliyotaka kunitunuku usibadili mawazo[emoji4]Hahahahaha! Kwahiyo hujafariki siyo?