Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hahahaaaa........ Serikali ina macho matatu na mkono mrefu sana bwashee!Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.
Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18
Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!
The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?
Ngoja tuone!
Ingekuwa imeshavuma kwamba amekamatwa. KKM Mzee wa Matahi angekuwa ashatumwa kuulezea umma umahiri uliotumika kumuweka mikono salama mtu msumbufu.Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.
Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18
Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!
The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?
Ngoja tuone!
Ingekuwa imeshavuma kwamba amekamatwa. KKM Mzee wa Matahi angekuwa ashatumwa kuulezea umma umahiri uliotumika kumuweka mikono salama mtu msumbufu.
Hao ni wao wenyewe wanatuchezea akili, we umemuona tena cheusimangala_, kazi aliyotumwa kaimaliza
Wewe mbona hujadakwaSiyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.
Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18
Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!
The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?
Ngoja tuone!
Kwa hiyo wanafanya makusudi kutowakamata waliompiga risasi Lissu na kuwateka watu mbalimbali?Hahahaaaa........ Serikali ina macho matatu na mkono mrefu sana bwashee!
Wewe mbona hujadakwa
Nimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake?
Nawasilisha.
Amemfanya mzee wa watu anakula pensheni yake kwa kujifichaCheusimangala alitumika kumsulubu dentist wa meno ya tembo!