Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.
Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18
Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!
The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?
Ngoja tuone!