Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Huyu Mkurugenzi mpya hataki masiharaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa hilii
Nguvu ya soda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mkurugenzi mpya hataki masiharaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa hilii
hivi anaitwa nani,maana siku hz nimeacha kufuatilia mambo ya nchi yangu,nataka niwe bakhresa,mo,rostamHuyu Mkurugenzi mpya hataki masiharaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa hilii
Kwa hiyo wanafanya makusudi kutowakamata waliompiga risasi Lissu na kuwateka watu mbalimbali?
Hata kama nguvu ya sodaa mwana anakiwashaaNguvu ya soda.
Kigogo2014 ni Mzee Meko MwenyeweSiyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.
Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18
Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!
The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?
Ngoja tuone!
Bado mnyaru wewe zako ziko jikoni , wataleta Uzi hapa kukuuliza uliopo jf sio mbinguni
Nilimwambia kigogo hivyo alipopost picha zangu
Kigogo 2014Hyu hapa kalike masaa 16 yalyopitaView attachment 1230671
Hata kama nguvu ya sodaa mwana anakiwashaa
Hyu hapa kalike masaa 16 yalyopitaView attachment 1230671
Ukibishana na mwehu nawe utaonekana.. Mwache alivuoUnajidhalilisha
Dereva wa Antipas mbona mmemficha?!Kwa hiyo wanafanya makusudi kutowakamata waliompiga risasi Lissu na kuwateka watu mbalimbali?
Poleni wafuasi wake. Mnaweza kumfuatilia kama kapost au kutopost masaa kadhaa. Any way nae ni binadamu. Naona watu mmepata kigogo affection.Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.
Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18
Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!
The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?
Ngoja tuone!
Jamaa umekosa umbea siku mbili tu, umeshindwa kuvumilia kiu umekuja kulia hapa🤣🤣
sema unalolijua,maana umejaa wahkaSi kweli na acha Kudanganya halafu usidhani kuwa ' unayemfolo ' ni Wewe tu peke yako. Huyu Mtu ' kapotea ' ghafla Twitani.
Nimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake?
Nawasilisha.