Leo ni Siku ya Pili yule ' Mbabe ' wa ' Twitani ' aliyejizolea ' Umaarufu ' ghafla hajaonekana je, Kulikoni tena?

Leo ni Siku ya Pili yule ' Mbabe ' wa ' Twitani ' aliyejizolea ' Umaarufu ' ghafla hajaonekana je, Kulikoni tena?

Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.

Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18

Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!

The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?

Ngoja tuone!
Kigogo2014 ni Mzee Meko Mwenyewe
 
Bado mnyaru wewe zako ziko jikoni , wataleta Uzi hapa kukuuliza uliopo jf sio mbinguni

Nilimwambia kigogo hivyo alipopost picha zangu

Bahati mbaya sana huwa ' Sitishwi ' Kipumbavu hivi Mkuu. Na leo kweli nimeamini kuwa USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA. Hongera pia kwa Kujitajidi na Kuhangaika kutaka tukujue kuwa Wewe ni mwana Makao Makuu Oysterbay Idarani ili wana JamiiForums ' Tukuogope ' lakini nami GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE namalizia kwa Kukuambia tena huku nikijiamini kabisa halafu ' nikikudharau ' vile vile kuwa AMA HAKIKA USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA. Swine Mkubwa Wewe!
 
Iabda inawezekana kafariki kwa ugonjwa hospitalini ndani au nje ya nchi
 
Ze Utamu alikuwa Michigan wakati ule wa Kikwete akawa anajifanya yupo Uingereza

Alikuja kukamatwa mwishoni
 
Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.

Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18

Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!

The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?

Ngoja tuone!
Poleni wafuasi wake. Mnaweza kumfuatilia kama kapost au kutopost masaa kadhaa. Any way nae ni binadamu. Naona watu mmepata kigogo affection.
 
Nimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake?

Nawasilisha.

Kaungana na TanzaGiza na Kwinyara huko.......kusikojulikana
 
Back
Top Bottom