wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Kigogo aliwekwa makusudi awatiishe na kuwapigisha magoti akina Nape & co. Tangu Nape & co waombe radhi Kigogo akaanza kujiweka pembeni kwenye tweeter. Mission accomplished.
Hahahah aisee umenikumbusha yule mjinga. Cjui kesi yake uliishiajeZe Utamu alikuwa Michigan wakati ule wa Kikwete akawa anajifanya yupo Uingereza
Alikuja kukamatwa mwishoni
Nimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake?
Nawasilisha.
Menina katoa kolabo [emoji1787]Mbona hakuna breaking news [emoji846]
Kusema kweli mkuu hata mimi nimefikiri hivyo! Huenda Kigogo yupo nguvuni ama wamemnyongβonyeza! Nimekuwa nikuchungulia kwenye account yake natoka suluhu! Hii si kawaida ya Kigogo, huenda vijana wanaburudika naye sasa!Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.
Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18
Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!
The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?
Ngoja tuone!
Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.
Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18
Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!
The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?
Ngoja tuone!
Jee inawezekana kigogo, ulikuwa mradi wa TISS?
Tena wale waliokuwa hawafurahii mambo yao yalivyokuwa yakiendeshwa.
Na sawa mambo yameekwa vizuri, wameamua huu mradi umetimiza majukumu yake.
"Mwanangu ogopa sana mamlaka"Mkuu ogopa sana ' ukisakwa ' na Watu ambao wanakuzidi kidogo ' Akili ' kwani utajitahidi tu ' Kuwakwepa ' kwa muda ila iwe isiwe ni lazima tu kuna mahala ' watakudaka ' na baada ya hapo kabla hawajakufanya lolote lile Kwanza wataanza Kukutaka uwape Taarifa zao muhimu za Watu wako wengine, nani anakutumia, Habari zako alikuwa anakupa nani, ukaguzi wa kina kuanzia Kwako hadi unakojipatia Mkate wako wa kila Siku na wakishajiridhisha nawe pasi na Shaka ndipo sasa wanaweza kuamua Jina lako libadilike rasmi na uwe Historia hapa duniani.
Naendelea Kusisitiza kuwa tujaribu kuwa makini sana humu Mitandaoni na tusije tukajisahau sana ili tusije tukajuta baadae.
Huyu Mkurugenzi mpya hataki masiharaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa hilii
Siku hizi nakuona uko vizuri sanaMkuu ogopa sana ' ukisakwa ' na Watu ambao wanakuzidi kidogo ' Akili ' kwani utajitahidi tu ' Kuwakwepa ' kwa muda ila iwe isiwe ni lazima tu kuna mahala ' watakudaka ' na baada ya hapo kabla hawajakufanya lolote lile Kwanza wataanza Kukutaka uwape Taarifa zao muhimu za Watu wako wengine, nani anakutumia, Habari zako alikuwa anakupa nani, ukaguzi wa kina kuanzia Kwako hadi unakojipatia Mkate wako wa kila Siku na wakishajiridhisha nawe pasi na Shaka ndipo sasa wanaweza kuamua Jina lako libadilike rasmi na uwe Historia hapa duniani.
Naendelea Kusisitiza kuwa tujaribu kuwa makini sana humu Mitandaoni na tusije tukajisahau sana ili tusije tukajuta baadae.
Siku hizi nakuona uko vizuri sana
Mkuu ogopa sana ' ukisakwa ' na Watu ambao wanakuzidi kidogo ' Akili ' kwani utajitahidi tu ' Kuwakwepa ' kwa muda ila iwe isiwe ni lazima tu kuna mahala ' watakudaka ' na baada ya hapo kabla hawajakufanya lolote lile Kwanza wataanza Kukutaka uwape Taarifa zao muhimu za Watu wako wengine, nani anakutumia, Habari zako alikuwa anakupa nani, ukaguzi wa kina kuanzia Kwako hadi unakojipatia Mkate wako wa kila Siku na wakishajiridhisha nawe pasi na Shaka ndipo sasa wanaweza kuamua Jina lako libadilike rasmi na uwe Historia hapa duniani.
Naendelea Kusisitiza kuwa tujaribu kuwa makini sana humu Mitandaoni na tusije tukajisahau sana ili tusije tukajuta baadae.
huyu sio yeye kama ulikuwa unamfuatilia kigogo 2014 utakubaliana na mimi kuwa hyo akaunti siyo yake akaunt original inabendera ya kenya badala ya hilo neno K EKumbe yupo badooo,daahhView attachment 1234239