Leo ni Siku ya Pili yule ' Mbabe ' wa ' Twitani ' aliyejizolea ' Umaarufu ' ghafla hajaonekana je, Kulikoni tena?

Kigogo aliwekwa makusudi awatiishe na kuwapigisha magoti akina Nape & co. Tangu Nape & co waombe radhi Kigogo akaanza kujiweka pembeni kwenye tweeter. Mission accomplished.

Maigizo yakiisha yatakuja mazingaombwe . .
 
Kigogo ni kama Mangekimambi tu, ukiwa na akili unaweza kuunganisha dots za yote yanayoendelea Tanzania watu wakakuona genius au tiss.
Kwa kifupi kigogo alikuwa hana madhara sema serikali ya Meko imejaa uovu kwa hiyo haijiamini, kila MTU inamuona adui.
Kigogo angekuwa makini angetupa majina ya wote waliotaka kumuua TL.
 
Nimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake?

Nawasilisha.

Mbona wewe humu jukwaani, unaweza kutokuonekana hata mwezi mzima...
 
Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.

Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18

Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!

The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?

Ngoja tuone!
Kusema kweli mkuu hata mimi nimefikiri hivyo! Huenda Kigogo yupo nguvuni ama wamemnyong’onyeza! Nimekuwa nikuchungulia kwenye account yake natoka suluhu! Hii si kawaida ya Kigogo, huenda vijana wanaburudika naye sasa!
 
Siyo kawaida kigogo apitishe lisaa limoja kabla ya kupost kitu katika mtandao wa wa twitter.

Wiki mbili zilizopita Kigogo alitupiwa ujumbe twitter kuwa tayari IP yake ishajulikana na yuko ndani ya 18

Leo tunakwenda siku ya pili bila post ya huyo jamaa, Je keshadakwa?, Maana hii siyo kawaida kwa huyo jamaa kukaa bila kupost kitu siku nzima!

The other thing, baada ya shake up ndani ya TISS siku hizi jamaa hana tena zile taarifa motomoto za jikoni. Siku hizi naye anafanya kazi ya kuretweet tu maoni ya wenzie.
Je inawezekana kwamba bosi mpya wa TISS kafanikiwa kuziba leakage ya taarifa?

Ngoja tuone!

Mkuu ogopa sana ' ukisakwa ' na Watu ambao wanakuzidi kidogo ' Akili ' kwani utajitahidi tu ' Kuwakwepa ' kwa muda ila iwe isiwe ni lazima tu kuna mahala ' watakudaka ' na baada ya hapo kabla hawajakufanya lolote lile Kwanza wataanza Kukutaka uwape Taarifa zao muhimu za Watu wako wengine, nani anakutumia, Habari zako alikuwa anakupa nani, ukaguzi wa kina kuanzia Kwako hadi unakojipatia Mkate wako wa kila Siku na wakishajiridhisha nawe pasi na Shaka ndipo sasa wanaweza kuamua Jina lako libadilike rasmi na uwe Historia hapa duniani.

Naendelea Kusisitiza kuwa tujaribu kuwa makini sana humu Mitandaoni na tusije tukajisahau sana ili tusije tukajuta baadae.
 
Jee inawezekana kigogo, ulikuwa mradi wa TISS?

Tena wale waliokuwa hawafurahii mambo yao yalivyokuwa yakiendeshwa.

Na sawa mambo yameekwa vizuri, wameamua huu mradi umetimiza majukumu yake.

Naweza Kukubaliana na ulichokiandika hapa kwa 85% Mkuu.
 
Mkuu ogopa sana ' ukisakwa ' na Watu ambao wanakuzidi kidogo ' Akili ' kwani utajitahidi tu ' Kuwakwepa ' kwa muda ila iwe isiwe ni lazima tu kuna mahala ' watakudaka ' na baada ya hapo kabla hawajakufanya lolote lile Kwanza wataanza Kukutaka uwape Taarifa zao muhimu za Watu wako wengine, nani anakutumia, Habari zako alikuwa anakupa nani, ukaguzi wa kina kuanzia Kwako hadi unakojipatia Mkate wako wa kila Siku na wakishajiridhisha nawe pasi na Shaka ndipo sasa wanaweza kuamua Jina lako libadilike rasmi na uwe Historia hapa duniani.

Naendelea Kusisitiza kuwa tujaribu kuwa makini sana humu Mitandaoni na tusije tukajisahau sana ili tusije tukajuta baadae.
"Mwanangu ogopa sana mamlaka"

Haya maneno alikuwa akiyasisitiza sana patron wetu, alikuwa former army major. Hayajawahi kunitoka kichwani hayo maneno.
 
Huyu Mkurugenzi mpya hataki masiharaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa hilii

Nasikia kulikuwa na bado kuna ' fagia fagia ' na ' hamisha hamisha ' huko Jikoni Mkabala na Kanisa la Mtakatifu Petro hivyo yawezekana nae ' ameathirika ' nayo hiyo hali au kuna Watu wake ' wamemchoma ' hivyo huenda sasa amehifadhiwa mahala au ameshakuwa Historia hapa Ulimwenguni.
 
Mkuu ogopa sana ' ukisakwa ' na Watu ambao wanakuzidi kidogo ' Akili ' kwani utajitahidi tu ' Kuwakwepa ' kwa muda ila iwe isiwe ni lazima tu kuna mahala ' watakudaka ' na baada ya hapo kabla hawajakufanya lolote lile Kwanza wataanza Kukutaka uwape Taarifa zao muhimu za Watu wako wengine, nani anakutumia, Habari zako alikuwa anakupa nani, ukaguzi wa kina kuanzia Kwako hadi unakojipatia Mkate wako wa kila Siku na wakishajiridhisha nawe pasi na Shaka ndipo sasa wanaweza kuamua Jina lako libadilike rasmi na uwe Historia hapa duniani.

Naendelea Kusisitiza kuwa tujaribu kuwa makini sana humu Mitandaoni na tusije tukajisahau sana ili tusije tukajuta baadae.
Siku hizi nakuona uko vizuri sana
 
Kuna teknolojia fulani ambayo ni "well advanced" ndo imekuwa inatumika kukutafuta "kwa mazungumzo".

Kuna vijana ambao ni graduates kutoka vyuo kama kule mashariki ya mbali na hata Ulaya, hawa wengine walikuwa "unemployed" kwa sababu ya shughuli za wizi huko nyuma wakafukuzwa kazi kutoka kwenye mabenki, makampuni mbalimbali na kadhalika..

Sasa inasemekana kuna hiyo "task force" ikitoa ushauri elekezi kwa idara zote muhimu kwa mkataba maalum.

Halafu kwa kuwakumbusha tu, tusiwadharau sana vijana graduates wa sasa wa NIT kwani wapo ambao wanapelekwa hapo kwa "special selection", ili kukidhi mahitaji maalum.

Naomba niishie hapo.
 
Kumbe yupo badooo,daahh
Screenshot_2019-10-15-17-49-14-1.png
 
KiGOGO hatimaye ana JIMWAMBAFAiiiiiiiiiiiii 🙌 🙌 🙌 🙌 🤣 we are not safe at all
 
Back
Top Bottom