Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamesaau password a kulogin twitterKuna mdau alinambia Kigogo ni mtandao sio mtu mmoja tusubiri na tune Ila wazee wakujimwambafy hawashindwi kitu. kwangu twitter itapoteza mvuto kidogo mama mila muds ilikufa kuchungulia kuna habari gain.
big fat liar..kama walimjua na wakamtega kwa hivyo ulivyovisema,kwa nini wasimkamate bila mtego?Alitegwa akategeka: tangu aliponyweshwa mkojo wa. BOT na uteuzi wa Afisa tarafa ndipo alipojipeleka kwa wenyewe; amepumzishwa anapostahili
Angalia post #6keshaangukia PUA manake kuna MASNICH "wabobevu wa CODE vs DECODE" zaidi yake
"MDOMO mkubwa/mpana/mwekundu na PUA kubwaa" inaweza ikawa vishapunguzwa nao mdomo mdogo n pua ndogo
Uhuru wa habari ni muhimu kikubwa ni namna yakufikisha ujumbe na hoja zako , na lazima tusome alama za nyakati kuna watu hawaumizwi na kelel kuna watu wameumbwa wako weak sana hawawezi kustahimili hoja sasa hao ndo wabaya kwa usawi wa utu.. kitu kidogo umepotea au umenyamazishwaNaanza Kuingiwa na wasiwasi Mkuu kwani si kawaida kabisa. Na tatizo la Watu wa IT ni kwamba unaweza Wewe ukajifaragua ( ukajimwambafai ) kuwa umeiva na hakuna atakayekuweza huko lakini ukakuta kuna Watu wengine nao tena labda ni ' Majiniasi ' kuliko Wewe nao wamepelekwa Kusoma sehemu nyingine zenye Mabingwa wa IT kuliko Wewe na ambao huenda hata Teknolojia yako iko juu kuliko kule ulikosomea Wewe kisha wakija Kutumika katika ' Kukusaka ' humu Mitandaoni basi Kazi yao inakuwa ni nyepesi ( kama si rahisi ) kisha unaishia Kukamatwa kama vile walivyokamatwa ' Kizembe ' Watu wawili tuliokuwa tukiwasifia kuwa ni ' Mabandidu / Wababe ' kabisa akina Saddam Hussein na Muamar Ghadaffi ambao kwa ile aina ya ' Mikwara ' yao hakuna aliyedhania kuwa wangekuja Kushindwa na Kuishia huko walikoishia na sasa wamebaki kuwa ni Historia tu hapa Ulimwenguni.
Usiogope sana kina Kigogo ndiyo hao hao wako kwa system wanaamua kutuchezesha mitandaoni muda wowote wakitaka!!Twitter haiko salama na iko waz Sana kicode njia salama ya kuwa salama nikuachana na mambo yao tu hapo utakuwa salama kabisa Tena bila shida yeyote ile.
Na weng wetu tunapenda kuingilia mambo yaliotuzid kiakil na uwezo kisa uhuru na haki ya kuongea
Ukijua nyuma yako Kuna wangapi wanakutegemea hutofanya hvyo hata kidogo
Tatizo watu wanashindana na kina fatuma karume ule Ni ukoo unaolindwa tu hautofanyiwa madhara wew je kapuku
Ulimwengu wa Technology ni mpana sana na uwezi kuwa fit kila angle Ndy maana nawashangaa baadhi ya Member wa JF wanatuc viongozi kwa kujiona wako mafichoni na Fake ID wanazotumia na wakitunisha vifua na Vpn zilizo tengenezwa na mascript kiddleNaanza Kuingiwa na wasiwasi Mkuu kwani si kawaida kabisa. Na tatizo la Watu wa IT ni kwamba unaweza Wewe ukajifaragua ( ukajimwambafai ) kuwa umeiva na hakuna atakayekuweza huko lakini ukakuta kuna Watu wengine nao tena labda ni ' Majiniasi ' kuliko Wewe nao wamepelekwa Kusoma sehemu nyingine zenye Mabingwa wa IT kuliko Wewe na ambao huenda hata Teknolojia yako iko juu kuliko kule ulikosomea Wewe kisha wakija Kutumika katika ' Kukusaka ' humu Mitandaoni basi Kazi yao inakuwa ni nyepesi ( kama si rahisi ) kisha unaishia Kukamatwa kama vile walivyokamatwa ' Kizembe ' Watu wawili tuliokuwa tukiwasifia kuwa ni ' Mabandidu / Wababe ' kabisa akina Saddam Hussein na Muamar Ghadaffi ambao kwa ile aina ya ' Mikwara ' yao hakuna aliyedhania kuwa wangekuja Kushindwa na Kuishia huko walikoishia na sasa wamebaki kuwa ni Historia tu hapa Ulimwenguni.
Ulimwengu wa Technology ni mpana sana na uwezi kuwa fit kila angle Ndy maana nawashangaa Member weng wa JF wanatuc viongozi kwa kujiona wako mafichoni na Fake ID wanazotumia na wakitunisha vifua na Vpn zilizo tengenezwa na mascript kiddle
Nani amemuelewa gentamycin a nachomekea treats mzee baba acha hizo tutaendelea kukosoa pale panapostahili na tutapongeza tukiona kuna chakupongeza.... your enjoying watu kupotezwa au kunyamazishwa kuna threat zako mbili imebidi nikaziangalie tenaAlitegwa akategeka: tangu aliponyweshwa mkojo wa. BOT na uteuzi wa Afisa tarafa ndipo alipojipeleka kwa wenyewe; amepumzishwa anapostahili
mimi ccm wewe,hivi kwa akili yako unadhani chadema inaendeshwa kwa ruzuku pekee?