Leo ni siku ya Prof. Kigoma Ali Malima (Julai 16)

Profesa Malima, alifanikiwa sana kupunguza kasi ya mfumo kristo ndani ya serikali!
 
Naomba niulize, mfumo wa namba vs majina ulibadilishwa kwa maamuzi binafsi ya waziri malima au yalikuwa ni maamuzi ya wizara? Malima ndio aliamua au serikali (kupitia wizara) ndio iliamua?
 
Swali lako halina msingi anzia kusoma topiki ya juu
 
Msingi ni kuwa anapotajwa huyu bwana na hili suala la mfumo huwa linajitokeza mpaka mimi nadhani bila huu mfumo huyu bwana angekuwa amesahaulika kama mawaziri wengine, kwani wamekufa wangapi mbona majina yao hayakumbukiwi? Wewe kama unalojibu tafadhali nipe. Wizara inapobadilisha mfumo huwa ni matakwa ya Waziri au matakwa ya Wizara (serikali)? Maana kuna vitu vinanichanganya, sifa za kubadilisha mfumo anapewa Malima (waziri), lakini lawama za kubadilisha mfumo anapewa Joyce Ndalichako na si Shukuru Kawambwa, lakini yote ni mifumo. Kwanini credit inahama hama?
 
Naomba niulize, mfumo wa namba vs majina ulibadilishwa kwa maamuzi binafsi ya waziri malima au yalikuwa ni maamuzi ya wizara? Malima ndio aliamua au serikali (kupitia wizara) ndio iliamua?

jMali,

..nilifanya mtihani wa darasa la 7 kabla Prof.Malima hajateuliwa kuwa Waziri wa Elimu na nilitumia nambari ya mtihani.

..habari kuwa kabla ya Malima kuwa waziri wanafunzi walikuwa wanaandika majina kwenye karatasi za mitihani siyo za kweli.

cc MIDFIELD
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom