Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Cha Tanzania. Ni uhuru wa TanganyikaNimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.
Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma atakaposheherekea siku yake ya kuzaliwa atasheherekea Kama Juma lakini Juma akibadili jina akaitwa Hassan, tutasheherekea siku ya kuzaliwa Hassan na sio Juma.
Kutokana na mfano huo wa kubadili jina kwa Juma kuwa Hassan kutafanya kumbukumbu pekee inayobaki kukumbukwa ni ya Hassan na sio Juma. Mifano ipo mingi ya watu kubadili jina ili kupata jina lenye nguvu na maana kubwa zaidi lakini kwa ufupi nigusie mifano michache ya kwenye biblia. Abram alibadili jina na kuwa Abraham , Simon alibadili jina kuwa Petro.
Kubadili jina kunaweza kuwa na maana nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kufuta kumbukumbu za mateso na maumivu za jina la zamani na kuvuta baraka na mafanikio kwa jina jipya.
Kama inavyokuwa kwa mtu kubadili jina, ndivyo iliyokuwa inaitwa Tanganyika imebadilishwa kuwa Tanzania. Ile kumbukumbu mbaya ya mateso na maumivu ya Tanganyika imebadilishwa kwa kuwa Tanzania.
Kwa sababu Tanganyika haipo na imebadilishwa ,toka siku ya Kwanza baada ya kubadilishwa kumbukumbu zilikuwa zinaishi na zisizofutika Tanganyika zikawa za Tanzania. Kama vile mtu ambavyo hawezi kufuta siku yake ya kuzaliwa ndivyo nchi haiwezi kufuta siku yake ya Uhuru Ila inaweza kubadili jina.
Nihitimishe kwa kusema Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania, hakuna tena inayoitwa Tanganyika Kama vile ambavyo hakuna Juma baada ya kubadili jina kuwa Hassan.
Acha upotoshaji na uongo usiyo na kichwa wala miguu, mifano yako hailingani na unachokieleza.Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.
Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma atakaposheherekea siku yake ya kuzaliwa atasheherekea Kama Juma lakini Juma akibadili jina akaitwa Hassan, tutasheherekea siku ya kuzaliwa Hassan na sio Juma.
Kutokana na mfano huo wa kubadili jina kwa Juma kuwa Hassan kutafanya kumbukumbu pekee inayobaki kukumbukwa ni ya Hassan na sio Juma. Mifano ipo mingi ya watu kubadili jina ili kupata jina lenye nguvu na maana kubwa zaidi lakini kwa ufupi nigusie mifano michache ya kwenye biblia. Abram alibadili jina na kuwa Abraham , Simon alibadili jina kuwa Petro.
Kubadili jina kunaweza kuwa na maana nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kufuta kumbukumbu za mateso na maumivu za jina la zamani na kuvuta baraka na mafanikio kwa jina jipya.
Kama inavyokuwa kwa mtu kubadili jina, ndivyo iliyokuwa inaitwa Tanganyika imebadilishwa kuwa Tanzania. Ile kumbukumbu mbaya ya mateso na maumivu ya Tanganyika imebadilishwa kwa kuwa Tanzania.
Kwa sababu Tanganyika haipo na imebadilishwa ,toka siku ya Kwanza baada ya kubadilishwa kumbukumbu zilikuwa zinaishi na zisizofutika Tanganyika zikawa za Tanzania. Kama vile mtu ambavyo hawezi kufuta siku yake ya kuzaliwa ndivyo nchi haiwezi kufuta siku yake ya Uhuru Ila inaweza kubadili jina.
Nihitimishe kwa kusema Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania, hakuna tena inayoitwa Tanganyika Kama vile ambavyo hakuna Juma baada ya kubadili jina kuwa Hassan.
Hilo jina la muungano haiitwi Tanzania Bali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini Tanzania inabaki nchi.Acha uongo mkuu tanganyika haijabadikli jina kuwa tanzania ila ni muungano wa nchi mbili sasa juma na hasani ni watu wawili wakiungana kila mtu atabaki na sherehe yake ya kuzaliwa ndio maana zanzibar wana siku yao ya kupata uhuru wao (mapinduzi)
Hiyo moja inayosheherekea mapinduzi matukufu ni halali kwa sababu hiyo Zanzibar ipo Ila ingekuwa haipo Kama Tanganyika wasingesheherekea kitu ambacho hakipo.We jamaaa acha upotoshaji na mifano yako ya kuforce
Ili upate Tanzania lazima kuwe na muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar muungano haujawahi kufuta historia ya hizo nchi mbili kila Moja kati ya hizo nchi mbili Ina historia yake.
Ndio maana Moja huadhimisha mapinduzi matukufu na nyingine huadhimisha uhuru uliopatikana kwa amani
Tanzania ni nchi mojawapo katika Muungano. Jina la muungano ni JMTAcha uongo. Tanzania ni jina la Muungano. Tanganyika na Zanzibar ni majina ya washiriki wa Muungano.
Tunaokuelewa tumekuelewa. Tanganyika ndio ilibadilishwa jina na kuitwa Tanzania. Zanzibar bado ni Zanzibar. Nchi ya Tanganyika kulinganisha na zanzibar hata ukiambiwa uchore ramani ya Tanzania leo utaiona Tanganyika maana zanzibar ni ndogo sana. Na hata leo bahati mbaya muungano uvunjike Tanganyika itabakia ndio Tanzania na hakutakua na mwenye uwezo eti kutukataza tusiendelee kua jamhuri ya Tanzania.Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.
Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma atakaposheherekea siku yake ya kuzaliwa atasheherekea Kama Juma lakini Juma akibadili jina akaitwa Hassan, tutasheherekea siku ya kuzaliwa Hassan na sio Juma.
Kutokana na mfano huo wa kubadili jina kwa Juma kuwa Hassan kutafanya kumbukumbu pekee inayobaki kukumbukwa ni ya Hassan na sio Juma. Mifano ipo mingi ya watu kubadili jina ili kupata jina lenye nguvu na maana kubwa zaidi lakini kwa ufupi nigusie mifano michache ya kwenye biblia. Abram alibadili jina na kuwa Abraham , Simon alibadili jina kuwa Petro.
Kubadili jina kunaweza kuwa na maana nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kufuta kumbukumbu za mateso na maumivu za jina la zamani na kuvuta baraka na mafanikio kwa jina jipya.
Kama inavyokuwa kwa mtu kubadili jina, ndivyo iliyokuwa inaitwa Tanganyika imebadilishwa kuwa Tanzania. Ile kumbukumbu mbaya ya mateso na maumivu ya Tanganyika imebadilishwa kwa kuwa Tanzania.
Kwa sababu Tanganyika haipo na imebadilishwa ,toka siku ya Kwanza baada ya kubadilishwa kumbukumbu zilikuwa zinaishi na zisizofutika Tanganyika zikawa za Tanzania. Kama vile mtu ambavyo hawezi kufuta siku yake ya kuzaliwa ndivyo nchi haiwezi kufuta siku yake ya Uhuru Ila inaweza kubadili jina.
Nihitimishe kwa kusema Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania, hakuna tena inayoitwa Tanganyika Kama vile ambavyo hakuna Juma baada ya kubadili jina kuwa Hassan.
👍👍👍Leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika. Hakuna cha Tanzania, au Tanzania Bara! Ni Tanganyika, ok?