Leo ni siku ya vijana duniani. Kama kijana ikatokea dunia yote ikakusikiliza kwa dakika ungesema kitu gani?

Leo ni siku ya vijana duniani. Kama kijana ikatokea dunia yote ikakusikiliza kwa dakika ungesema kitu gani?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35

Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute majeshi yote. Yaani kusiwe na wanajeshi (demilitarization & disarmament )

Kuwe na polisi tu lakini kusiwe na wanajeshi. Hiyo ingesaidia kuondoa migogoro mingi sana duniani

photo_2025-08-12_09-26-44.jpg
 
Vijana wa Tanzania, sisi ni nguvu ya mabadiliko katika nchi yetu. Tumekuwa na changamoto nyingi, lakini kila changamoto ina fursa. Sisi ndio tuko katika nafasi nzuri ya kubadilisha hali ya uchumi, elimu, na ustawi wa taifa letu. Tunaweza kutumia teknolojia, ubunifu, na ushirikiano kuleta maendeleo ya kweli.

Lazima tujenge taifa linalozingatia haki, usawa, na mazingira bora kwa kila Mtanzania. Tujitahidi kuondoa umaskini, tuwe na ubunifu wa kushughulikia changamoto za kilimo, elimu, afya, na mazingira. Licha ya changamoto ya ajira, tunaweza kutumia vipaji vyetu kuanzisha miradi na biashara zitakazosaidia familia zetu na jamii yetu kwa ujumla.

Lakini mabadiliko haya hayawezi kuja bila kujitolea kwetu, bila kujenga tabia ya kuwa na uzalendo, bidii, na umoja. Kila mmoja wetu ana mchango katika kuleta mafanikio haya. Tujifunze, tusikie, tusali, na tushirikiane ili Tanzania yetu iwe nchi ya faraja na ustawi kwa kila mmoja wetu.

Sisi ni vijana wa sasa, lakini pia ni viongozi wa kesho. Tujivunie urithi wetu, tuwe na matumaini, na tuitumie nguvu yetu katika kujenga Tanzania yenye mafanikio kwa vizazi vijavyo. Tanzania inahitaji sisi vijana kuongoza kwa mfano na uongozi wa kweli."
 
Wakuu,

Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35

Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute majeshi yote. Yaani kusiwe na wanajeshi (demilitarization & disarmament )

Kuwe na polisi tu lakini kusiwe na wanajeshi. Hiyo ingesaidia kuondoa migogoro mingi sana duniani

View attachment 3438862
Inawezekana Vipi Mzazi Anaamka Asubuhi Haachi Hela Yoyote Mezani...Anategemea Tunaishije?
Mkate hakuna Sukari Hakuna...

Hawa dawa Kuwashtaki Ustawi Tu
 
Wakuu,

Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35

Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute majeshi yote. Yaani kusiwe na wanajeshi (demilitarization & disarmament )

Kuwe na polisi tu lakini kusiwe na wanajeshi. Hiyo ingesaidia kuondoa migogoro mingi sana duniani

View attachment 3438862
Wako bize wanakunywa visungura hawana habari na dunia.
 
Kama ingekuwa unatoa wazo linatekelezeka hapo hapo basi me ningeomba madeni ya mataifa yote yafutwe tuanze upya halafu baada ya hapo nitaangalia je kinachotukwamisha afrika ni madeni ya kionyonyaji au hatuna akili ya kimaendeleo
 
Back
Top Bottom