Kumbe ulikuwa under 18? Karibu kwenye umri wa kuchagua kipi cha kuacha kipi cha kufanya, Happy Birthday to you.
Dogo karibu ukubwani..., yaani ulikuwa unadandia akina Passion Lady kumbe ulikuwa china ya kumi nane!?? HBD to you.. kwenye vinywaji niandalie Kinana za kutosha Tonykp....
Nimefikisha miaka 18 leo......sasa nina ruhusiwa kupata haki zote za msingi kama adult........Jumapili njema......wakuu