Leo ni siku yangu ya kuzaliwa lakini ....

Hbd dogo.
Ndevu zikianza zitakuja kwa fujo mpaka zitakuboa. Halafu unataka limwili likubwa sana la nini, unataka kuwa kuli?
 
nadhani hujaelewa vizuri, sio kama nataka limwili likuubwa hapana! .. mwili wangu mpaka sura haviendani na umri wangu yani sina kabisa muonekano wa kiutu uzima kiasi kwamba hata nikisema nina miaka 18 bado utakataa kwamba sijafikisha .. anyway shukrani sana mkuu ..
 
Mimi ndevu zinanisaidia sana, nikinyoa ndevu nakua kama kajamaa ka miaka 18 kumbe ni jitu lenye 25+. Kuonekana mdogo kuna faida zake pia mkuu, usijilaumu sana.
 
Yah kila kitu kina faida na hasara zake, faida za kuonekana mdogo zipo mbeleni huko utakapo fika kwenye mid to late 30's ila hasara zake ni kwenye late teens na early 20's .. utachukuliwa sana poa na watu ..
 
Nili zaliwa mwezi na tarehe kama ya leo miaka ishirini iliyopita, na leo ni furaha kubwa sana kwangu kuuaga uteenager na kuingia rasmi into adulthood .. kimwonekano bado ni mdogo mno, kwani mwili wangu bado hauja tanuka kama wa mtu mzima, kimo changu ni futi 5 na inchi 5 na hata sura yangu bado ni ya kitoto mno na mbaya zaidi sina hata ndevu [emoji23] ..

Kua yangu imekua ya taratibu sana tangu enzi za utoto mpka leo hii kwani asilimia kubwa ya watu niliokuwa nikilingana nao umri mpaka leo wanaonekana ni wakubwa sana kwangu. From the age of 18 nimekua desperate sana na muonekano wa kikubwa but seems like nachelewa sana kukua. i expected physical change when i clocked 19 but nothing happened yet.

Hali hii ilifanya nidharauliwe shuleni na baadhi ya makundi ya wanafunzi kutokana na muonekano wangu wa kitoto ukilinganisha na how stubborn i was back then. Pia nilitemwa kwenye baadhi ya ajira za saidia fundi kutokana na kuonekana dogo ..

Nili google kuhusiana na hili nikagundua ni hali ya kawaida iitwayo constitutional growth delay. Ni hali inayorithiwa kwa wazazi au mzazi ambaye pia alipitia kitu kama hiki .. mtu mwenye CGD huonekana miaka 2 mpaka 3 mdogo kuliko umri wake au inshort ni hali inayo chelewesha ukuaji wa mifupa thus delaying the overall skeletal growth hivyo kumfanya mtu ashindwe kukua inavyo takiwa. Kwa kawaida hali hii hai itaji any treatment bali huitaji subira tu kwani watu wenye CGD huwa wanakuja ku catch up na kufikia their potential height and size when they clock into early 20's ..

Am expecting to seat for my senior 6 final exams early next year hivyo tuombeane wana CHAPUTA na JF in general [emoji23] .. all in all maisha ya kwa shemeji yanakera mno na yana hitaji uvumilivu sana hivyo karibuni nitasepa ..

That's all i wanted to share with you guys .. and Happy birthday to me .. [emoji512][emoji512]
Hongera sana Birthday mate.
 
nadhani hujaelewa vizuri, sio kama nataka limwili likuubwa hapana! .. mwili wangu mpaka sura haviendani na umri wangu yani sina kabisa muonekano wa kiutu uzima kiasi kwamba hata nikisema nina miaka 18 bado utakataa kwamba sijafikisha .. anyway shukrani sana mkuu ..
Seems genes zako zinadelay ukuaji lakini mbona sio jambo la kujutia, you will always look younger than your age. Nyie ndo huwa mnachelewa kuzeeka, mi naona ni faida zaidi.
 
Happy bday dogo, live long.
Jikubali jinsi ulivyo utaona maisha ni rahisi na mazuri sana
 
Seems genes zako zinadelay ukuaji lakini mbona sio jambo la kujutia, you will always look younger than your age. Nyie ndo huwa mnachelewa kuzeeka, mi naona ni faida zaidi.
Yah nahisi pia ni faida huko mbeleni, shukrani mkuu ..
 
Nili zaliwa mwezi na tarehe kama ya leo miaka ishirini iliyopita, na leo ni furaha kubwa sana kwangu kuuaga uteenager na kuingia rasmi into adulthood .. kimwonekano bado ni mdogo mno, kwani mwili wangu bado hauja tanuka kama wa mtu mzima, kimo changu ni futi 5 na inchi 5 na hata sura yangu bado ni ya kitoto mno na mbaya zaidi sina hata ndevu
emoji23.png
..

Kua yangu imekua ya taratibu sana tangu enzi za utoto mpka leo hii kwani asilimia kubwa ya watu niliokuwa nikilingana nao umri mpaka leo wanaonekana ni wakubwa sana kwangu. From the age of 18 nimekua desperate sana na muonekano wa kikubwa but seems like nachelewa sana kukua. i expected physical change when i clocked 19 but nothing happened yet.

Hali hii ilifanya nidharauliwe shuleni na baadhi ya makundi ya wanafunzi kutokana na muonekano wangu wa kitoto ukilinganisha na how stubborn i was back then. Pia nilitemwa kwenye baadhi ya ajira za saidia fundi kutokana na kuonekana dogo ..

Nili google kuhusiana na hili nikagundua ni hali ya kawaida iitwayo constitutional growth delay. Ni hali inayorithiwa kwa wazazi au mzazi ambaye pia alipitia kitu kama hiki .. mtu mwenye CGD huonekana miaka 2 mpaka 3 mdogo kuliko umri wake au inshort ni hali inayo chelewesha ukuaji wa mifupa thus delaying the overall skeletal growth hivyo kumfanya mtu ashindwe kukua inavyo takiwa. Kwa kawaida hali hii hai itaji any treatment bali huitaji subira tu kwani watu wenye CGD huwa wanakuja ku catch up na kufikia their potential height and size when they clock into early 20's ..

Am expecting to seat for my senior 6 final exams early next year hivyo tuombeane wana CHAPUTA na JF in general
emoji23.png
.. all in all maisha ya kwa shemeji yanakera mno na yana hitaji uvumilivu sana hivyo karibuni nitasepa ..

That's all i wanted to share with you guys .. and Happy birthday to me ..
emoji512.png
emoji512.png
Kimsingi
Nili zaliwa mwezi na tarehe kama ya leo miaka ishirini iliyopita, na leo ni furaha kubwa sana kwangu kuuaga uteenager na kuingia rasmi into adulthood .. kimwonekano bado ni mdogo mno, kwani mwili wangu bado hauja tanuka kama wa mtu mzima, kimo changu ni futi 5 na inchi 5 na hata sura yangu bado ni ya kitoto mno na mbaya zaidi sina hata ndevu [emoji23] ..

Kua yangu imekua ya taratibu sana tangu enzi za utoto mpka leo hii kwani asilimia kubwa ya watu niliokuwa nikilingana nao umri mpaka leo wanaonekana ni wakubwa sana kwangu. From the age of 18 nimekua desperate sana na muonekano wa kikubwa but seems like nachelewa sana kukua. i expected physical change when i clocked 19 but nothing happened yet.

Hali hii ilifanya nidharauliwe shuleni na baadhi ya makundi ya wanafunzi kutokana na muonekano wangu wa kitoto ukilinganisha na how stubborn i was back then. Pia nilitemwa kwenye baadhi ya ajira za saidia fundi kutokana na kuonekana dogo ..

Nili google kuhusiana na hili nikagundua ni hali ya kawaida iitwayo constitutional growth delay. Ni hali inayorithiwa kwa wazazi au mzazi ambaye pia alipitia kitu kama hiki .. mtu mwenye CGD huonekana miaka 2 mpaka 3 mdogo kuliko umri wake au inshort ni hali inayo chelewesha ukuaji wa mifupa thus delaying the overall skeletal growth hivyo kumfanya mtu ashindwe kukua inavyo takiwa. Kwa kawaida hali hii hai itaji any treatment bali huitaji subira tu kwani watu wenye CGD huwa wanakuja ku catch up na kufikia their potential height and size when they clock into early 20's ..

Am expecting to seat for my senior 6 final exams early next year hivyo tuombeane wana CHAPUTA na JF in general [emoji23] .. all in all maisha ya kwa shemeji yanakera mno na yana hitaji uvumilivu sana hivyo karibuni nitasepa ..

That's all i wanted to share with you guys .. and Happy birthday to me .. [emoji512][emoji512]
Kiuhalisia, u-teenager unatakiwa kukoma at 17.
Ukiwa 18 umeshakuwa mtu mzima ndo maana unaweza kupiga kura, nk.
Ktk nchi za Ulaya, kwa mfano, at 18 unatakiwa kuanza kujitegemea na kuhama nyumbani kwenu...
 
Back
Top Bottom