Leo ni siku yangu ya kuzaliwa lakini ....

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa lakini ....

Kimsingi

Kiuhalisia, u-teenager unatakiwa kukoma at 17.
Ukiwa 18 umeshakuwa mtu mzima ndo maana unaweza kupiga kura, nk.
Ktk nchi za Ulaya, kwa mfano, at 18 unatakiwa kuanza kujitegemea na kuhama nyumbani kwenu...
Nadhani umeongelea kuanza kutambuliwa kama mtu mzima kikatiba ni kuanzia miaka 18 lakini teenage years huishia miaka 19 ..
 
Nadhani umeongelea kuanza kutambuliwa kama mtu mzima kikatiba ni kuanzia miaka 18 lakini teenage years huishia miaka 19 ..
Asante, katiba pembeni: Nimetumia neno 'uhalisia.
Twende sambamba na jinsi ulimwengu unavyoenda.
Mtu wa miaka 18 si mtoto tena.
 
Asante, katiba pembeni: Nimetumia neno 'uhalisia.
Twende sambamba na jinsi ulimwengu unavyoenda.
Mtu wa miaka 18 si mtoto tena.
Sijakataa mkuu, sio mtoto tena lakini bado ni teenager mpaka pale atakapo fikisha miaka 20 ..
 
Kinachokukuta ww ndio na mimi pia ila me hafadhali urefu unanibeba kidogo.

28+ ndevu nazo zimegoma.😂😂
Jana nimeenda sehemu nikapumzike naambiwa hapa vijana wadogo hamruhusiwi. Daah nilichoka.
 
Kinachokukuta ww ndio na mimi pia ila me hafadhali urefu unanibeba kidogo.

28+ ndevu nazo zimegoma.[emoji23][emoji23]
Jana nimeenda sehemu nikapumzike naambiwa hapa vijana wadogo hamruhusiwi. Daah nilichoka.
Hahahah lakini faida yake utaiona miaka ya mbeleni huko ..
 
yani mimi nina 12 yrs humu unakuta nabishana na mtu kama huyu.

ila hongera sana kwa kumbukizi hii.!
JF tunabishana kwa hoja, hivyo umri si chochote hata rais kuna wengi tu waliomzidi umri na ana waongoza ..
 
Happy birthday dogo

Jua tu God is good all the time

Changamoto zingine zisikuumize kichwa kiasi cha kusahau wema wa Mungu kwako
 
Vijukuu vimejaa jf halafu havinaga aibu hata kut ongoza vizee,

Happy birthday mjukuu
 
Back
Top Bottom