Leo ni siku yangu ya kuzaliwa lakini ....

Hbd dogo.
Ndevu zikianza zitakuja kwa fujo mpaka zitakuboa. Halafu unataka limwili likubwa sana la nini, unataka kuwa kuli?
 
Hbd dogo.
Ndevu zikianza zitakuja kwa fujo mpaka zitakuboa. Halafu unataka limwili likubwa sana la nini, unataka kuwa kuli?
nadhani hujaelewa vizuri, sio kama nataka limwili likuubwa hapana! .. mwili wangu mpaka sura haviendani na umri wangu yani sina kabisa muonekano wa kiutu uzima kiasi kwamba hata nikisema nina miaka 18 bado utakataa kwamba sijafikisha .. anyway shukrani sana mkuu ..
 
Mimi ndevu zinanisaidia sana, nikinyoa ndevu nakua kama kajamaa ka miaka 18 kumbe ni jitu lenye 25+. Kuonekana mdogo kuna faida zake pia mkuu, usijilaumu sana.
 
Mimi ndevu zinanisaidia sana, nikinyoa ndevu nakua kama kajamaa ka miaka 18 kumbe ni jitu lenye 25+. Kuonekana mdogo kuna faida zake pia mkuu, usijilaumu sana.
Yah kila kitu kina faida na hasara zake, faida za kuonekana mdogo zipo mbeleni huko utakapo fika kwenye mid to late 30's ila hasara zake ni kwenye late teens na early 20's .. utachukuliwa sana poa na watu ..
 
Hongera sana Birthday mate.
 
Seems genes zako zinadelay ukuaji lakini mbona sio jambo la kujutia, you will always look younger than your age. Nyie ndo huwa mnachelewa kuzeeka, mi naona ni faida zaidi.
 
Happy bday dogo, live long.
Jikubali jinsi ulivyo utaona maisha ni rahisi na mazuri sana
 
Seems genes zako zinadelay ukuaji lakini mbona sio jambo la kujutia, you will always look younger than your age. Nyie ndo huwa mnachelewa kuzeeka, mi naona ni faida zaidi.
Yah nahisi pia ni faida huko mbeleni, shukrani mkuu ..
 
Kimsingi
Kiuhalisia, u-teenager unatakiwa kukoma at 17.
Ukiwa 18 umeshakuwa mtu mzima ndo maana unaweza kupiga kura, nk.
Ktk nchi za Ulaya, kwa mfano, at 18 unatakiwa kuanza kujitegemea na kuhama nyumbani kwenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…