Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Umesahau kutoka kwa g record ya Roy.... Ice cream ya noorah

Na zile za park lane.... Aisha aisha na nafasi nyingine zimepikwa nani vile? Halafu kuna crunk moja la cpwaa nimelisahau jina em nikumbushe......
 
na mi kama nalipata hilo la cpwaa sema jina limenitoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…