Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Mpenzi ninakumaind Mh. TEMBA kazi ya mika mwamba.. chambua kama karanga kazi ya mika! Nje ndani gangwe mob kazi ya majani T shirt na jeans university corner kazi ya master jay .. mwana mkiwa ksal kazi ya mika ..mabinti wa kitanga bwana misosi kazi ya mika ..pig black nini mnataka mazee kazi ya P.. namalizia na beat ya Taifa hili game ya sir nature kazi ya P
 
Baab kubwa ya TNG balaaa
 
Mtazamo aiseee, na ile kitu ya mwana FA, alikufa kwa ngoma.
Muda mwingine unajiuliza hawa watu from producer to artist cjajua ubongo wao kipindi hicho ulikuwa bright kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…