naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Dah Ahmad na dada yake Fatma na kuna Eno Mike nayo Miika alitishaWe tamala hulijui hilo goma hatari tupu kaligonga mikamwamba yani lilikuwa likipigwa nywele kichwani zinasimama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah Ahmad na dada yake Fatma na kuna Eno Mike nayo Miika alitishaWe tamala hulijui hilo goma hatari tupu kaligonga mikamwamba yani lilikuwa likipigwa nywele kichwani zinasimama
Baab kubwa ya TNG balaaaMpenzi ninakumaind Mh. TEMBA kazi ya mika mwamba.. chambua kama karanga kazi ya mika! Nje ndani gangwe mob kazi ya majani T shirt na jeans university corner kazi ya master jay .. mwana mkiwa ksal kazi ya mika ..mabinti wa kitanga bwana misosi kazi ya mika ..pig black nini mnataka mazee kazi ya P.. namalizia na beat ya Taifa hili game ya sir nature kazi ya P
Baab kubwa ya TNG balaaa
Yes wimbo mzuri sana.We tamala hulijui hilo goma hatari tupu kaligonga mikamwamba yani lilikuwa likipigwa nywele kichwani zinasimama
Yupo anatoa nyimbo na juzi juzi katoa sema ndiyo watz hata mmemsahauYes wimbo mzuri sana.
Sometimes nilikuja mpaka kwenu sometimes niliishia mlangoni.
Sijui hardmad yupo wapi siku hiz
Duuuh kweli tumemsahau. Nikafikiri ameacha kuimbaYupo anatoa nyimbo na juzi juzi katoa sema ndiyo watz hata mmemsahau
Har Mo Su the father of chumongMikasi, Zali la Mentali na Nampenda yeye..Aisee Majani alikuwa ni kwere kwenye hizi talk beats