Leo ni zamu ya shahidi wa 18 kesi ya lissu

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Kesi ya uhaini namba 19605/2026 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, itaendelea leo Jumatatu, Agosti 17, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam, ambapo shahidi wa 18 wa Jamhuri ataanza kuwasilisha ushahidi wake mbele ya Majaji watatu wanaoongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru.

Agosti 14, 2026 shahidi huyo wa 18 alitakiwa aanze kutoa ushahidi wake lakini alishindwa kutokana na sababu za kiafya zilizomkabili shahidi kwa siku hiyo, hii ni kwa mujibu wa mawakili wa upande wa Jamhuri ambao shahidi huyo ni wakwao.

Baada ya Shahidi huyo kushindwa kufika kutoa ushahidi wake, mawakili wa upande wa Jamhuri waliomba Mahakama kuahirishwa kwa kesi hadi Leo Agosti 17 huku wakiahidi Mahakama kwamba shahidi huyo atakuwepo leo, pamoja na mashahidi wengine ambao wanapaswa kutoa ushahidi wao.

Lissu alilalamikia juu ya maombi ya kuahirishwa kesi kwa 'kukosekana' shahidi, jambo alilodai linachelewesha kesi yake, huku akitaka amri ya mahakama juu ya kuletwa kwa mashahidi wengi izingatiwe jambo ambalo liliafikiwa.

1786946171093.png
 
View attachment 3651679
walifikiri jumatatu ni mbali sasa imefika ole wao wakimbie tena
 
Na siyo shahidi wa 18 pekee, mawakili wa serikali waliahidi kuja na mashahidi wote waliobaki. Ngoja tuone kama watatekeleza ahadi yao hiyo. Kama ndivyo leo itakuwa ndiyo mwanzo wa mwisho wa Kesi.
 
Back
Top Bottom