britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Hongera!, mwake mwake!Siachi kabisa
Anasema simpi time
Wanawake dah πππΌππΌ
Britanicca
View attachment 3701222
Wewe vip?Hongera!, mwake mwake!
Kumbe na wewe umejiunga na team ya Dr. Shika, Prof. Sarungi, Prof. Mbilinyi, Issack Sepeku, Dr. Ntuyabaliwe, Nasoro Malocho, Stephen Sefu, Prof. Msuya, etc, wakipokwenda kusoma huko, wakajibebea!
P
Enzi za Mwalimu ukienda kusoma nje ukarudi na mke Mzungu hupewi madaraka makubwa. Unaweza kuishia Ukurugenzi wa taasisi fulani au kubakia kua academician vyuoniHongera!, mwake mwake!
Kumbe na wewe umejiunga na team ya Dr. Shika, Prof. Sarungi, Prof. Mbilinyi, Issack Sepeku, Dr. Ntuyabaliwe, Nasoro Malocho, Stephen Sefu, Prof. Msuya, etc, wakipokwenda kusoma huko, wakajibebea!
P
unaongelea maeneo ya kwa mrefu au shangarai ndani ndani kdogo au?Kuna majamaa wa utalii hapa mtaani wamefanya kufuru ya maendeleo baada ya kukutana na hizo ngozi